We unafikiria kulipa kioo cha bentley bentayaga ni rahisi..lazima jamaa wazungushane[emoji23][emoji23]Vitu kwa ground vinatisha!
Daaah,hapo ndo utajua Kunyaland ni taifa lenye uhuru wa bendera tuuu.Vitasa tu sema hizi picha mbili zinafikirisha mnoo.
Ivi haya majengo ya BOT yapo na floor ngap?
Nitakuonesha baada ya masaa manne yajayo.Tuonyeshe barabara yakuingia hko dar port km ikoje kw sasa
Mapenzi yako kwa Tz hayafichiki, Kwa nini usihamie Bongo Mtoto Mzuri, uondokane na hiyo nchi ya Wazandiki, mamluki, wanafiki na watumwa wa mabeberu.Acha tanzania, wazamiaji kutoka pande zote EA huwakosi hko huku wakiongozwa wa nubi kutoka south sudan..
Watu kidogo wanajikongota ni wanaija
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji122][emoji122]20FL
Aise speed ya ujenzi ni km imeskyrocket gafla....saivi train ya uhandisi inatoka ruvu mpka pugu....wale walio sema inaisha mwakani sidhani km hata itafika mwezi 12 katikati [emoji91][emoji91]
Kitu kinacho nisikitisha mimi kwanini barabara zetu zinapunda pinda bila ya sababu kunatatizo gani kwenye injinia yetu ya mipango miji au wamejazwa waswahili kwenye hivyo vitengo ona kwenye hiyo picha barabara zilivyo pinda bila ya sababu wakati eneo bado lipo wazi alijajengeka bado tatizi nini !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!namwomba raisi achukue hatuka kali kuhusu ili tatizo maana limekuwa common sasa kila mipango miji mipya ukipiga picha kwa juu barabara zimekaa kama minyoo
Platinumz kawakilisha vidume wa bongo kuwapiga mimba so,sina muda na Tanasha! Na nyinyi mliomo humu ni muda tu.We basi tanasha unamuweza wapi, tulia tandale hko..
Kwanza nenda ukapambane na fisi, hao ndio size yakoView attachment 1530322
Ha ! Tena umenikumbusha nasikia fisi wanaogopa sana nyani ni eti kweli?We basi tanasha unamuweza wapi, tulia tandale hko..
Kwanza nenda ukapambane na fisi, hao ndio size yakoView attachment 1530322
Hakuna aliyekuuliza unapozipata,wewe kuwa na Amani,hii ni Tz,mtu anateuliwa kwenye wadhifa kwa uchapa kazi,na sio kwa ukabila Wala undugu,Makonda ni potential Sana,amepambana na drug dealers na ushoga Sana,so,he deserves though ana mapungufu yake!Hta usishtuke, habari zote huaga nazipata jf, nikiboeka huaga naingia napitia jukwaa la siasa angalau nicheke kiasi
Hapo majority ni foreigners na wealthy kenyans kidogo ambao wameshaila nchi yenu mpaka basi. Normal Kenyans go there to do garden work and clean the roads.
Hapo kwa wadosi chokoraa kama wewe huwezi ishi hapo
Huu mradi utakapoanza rasmi najisogeza Moro bila sababu yyte siku iyo Mradi tu nijioneeJamani mambo yanazidi kunoga.
Katika video hii kuna Train inayotarajiwa kununuliwa kwenye SGR.
hebu tuambizane jina lake
Picha za train
View attachment 1530551View attachment 1530552View attachment 1530553