Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Barabara inayoenda Simu 2000 kutokea maji pale kuunganisha na ya ubungo interchange inapigwa zege la maana. Ni seheme ya BRT?

ni BRT na inapita kweny huo mto kuvuka kuelekea Ubungo Terminal.. wanasema pale Ubungo itakuwa ni deposit ya BRT buses... hata ukiangalia barabara ya SamNujoma pale njia panda ya chuo katikat kuna BRT
 
Barabara inayoenda Simu 2000 kutokea maji pale kuunganisha na ya ubungo interchange inapigwa zege la maana. Ni seheme ya BRT?
Sina uhakika 100% lakini niliskia ni kwajil ya BRT
 
Miccm yote ni mijinga kabisa.Vinakula kinyesi tu havitumii ubongo.Huwezi kureason na hivi vinyangarika na akili kama vya vifaranga😂😂
 
Miccm yote ni mijinga kabisa.Vinakula kinyesi tu havitumii ubongo.Huwezi kureason na hivi vinyangarika na akili kama vya vifaranga[emoji23][emoji23]

umeandika haraka haraka hata hueleweki.. inaonyesha hujapewa tamu leo asubuhi .. The best 007 ebu mtafute huyu bibie na mpe tamu atulie... tafadhari wakilisha taifa vizur!
 
Miccm yote ni mijinga kabisa.Vinakula kinyesi tu havitumii ubongo.Huwezi kureason na hivi vinyangarika na akili kama vya vifaranga[emoji23][emoji23]
Kuna comments nyingine ukiziona unagundua kabisa kuna shida au kuna kitu kinakusumbua,

Tafuta mtaalamu wa saikolojia akusaidia maana stress sio nzuri but sidhani kama ni stress ndio inakusumbua...wewe kinachokusumbua ni akili fupi, wivu, pamoja na chuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…