kuna picha moja kama hii matata ipo DTB bank mliman city ofis ya manager... picha ya ukweli balaa.. nimeshindwa tu kuipiga mana ni sehem za watu hizo
kuna picha moja kama hii matata ipo DTB bank mliman city ofis ya manager... picha ya ukweli balaa.. nimeshindwa tu kuipiga mana ni sehem za watu hizo
Heheheheheeee nshai save hii [emoji3][emoji3][emoji3]
Atari mzee [emoji3][emoji3]
Yaani hawa majaa wakiendeleza chuki zao na sisi tutaongeza zaidi
Mkuu leo umeamua kuwauwa kabisa [emoji3][emoji3]Chini eneo kati ya PSPF 35FX2 na TPA tower 40F[emoji2][emoji41]
View attachment 1519716
View attachment 1519717
Kwa wenzetu pakoje Wakuu.
Hv wakenya hawawezi kuongea mambo yao bila kuhusisha Tz au Magufuli?Ikiwa hiki kipigo anapewa mhesh embu fikiria kipigo anachopewa common citizen.
Na jana waliambiwa waache kujilinganisha na nchi ambazo hazitoi daily updates za corona sijui mbona hawasikii [emoji23][emoji23][emoji23]Hv wakenya hawawezi kuongea mambo yao bila kuhusisha Tz au Magufuli?
Yaani hawa wanataka watujaze chuki na tukiamua kuwa na chuki nao wataomba msamaha wenyeweHv wakenya hawawezi kuongea mambo yao bila kuhusisha Tz au Magufuli?
Utadhani wanaua nyokaIkiwa hiki kipigo anapewa mhesh embu fikiria kipigo anachopewa common citizen.
kwenye maneno 10 ya mkenya chukua moja uondoke 😂😂😂😂 hio tower inaitwaje
asante kwa render😃😃😃[SUP]another one in westlands 30+flr[/SUP]
[SUP]View attachment 1519818[/SUP]