Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,227
Umeona enhee. ..!
Cha ajabu South Africans wakaiga Kenya ukabila na ghafla Zuma akampindua kabla Zuma hajakaa vizuri Ramaphosa akampindua Zuma na nahisi Ramaphosa hatakaa sana!Mandela alisafiri kuja Zambia na Tanzania kupata veto ya Kenneth Kaunda na Julius Nyerere kuhusu ni nani sahihi kumuachia Madaraka na uongozi wa ANC kati ya Cyril Ramaphosa na Thabo Mbeki, both Nyerere na Kaunda walimpa Mbeki.
Ipo kwenye books.
Unangaik n uyu pimbi hana cha msingi analet barabara yenye halfside walks na hakuonekani km hata wanampango wakuweka upande wapili...[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] ndio ishindane na sandton....bure kabisa awaaa[emoji1787][emoji1787]Hebu tuone kama kuna ukweli hapa Sandton hii hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1519172View attachment 1519173View attachment 1519174View attachment 1519175View attachment 1519176View attachment 1519177View attachment 1519178
Hahahaha nchi imelaanika hii wameletewa mpaka majiTaifa omba omba linaloishi kwa kutegemea misaada ya kibinadamu, leo tena limepokea misaada toka kwa nchi Masikini
Dunia ina aina tofauti tofauti za watu, usipoteze nguvu zakoHivi unadhani lisu anaweza kuwa raisi,na una amini kabisa. ..aisee kuna watu hapa duniani wanaishi tu ilinradi siku ziende,siku ukikua utajua hii nchi ipoje
Jamaa ana roho ngumu[emoji848][emoji848]
Hapa ni bypass, kudos bro,,,There is an Industrial City under construction in Juja Nairobi Kenya called Northland City
View attachment 1519158View attachment 1519159View attachment 1519160View attachment 1519161View attachment 1519162View attachment 1519163View attachment 1519164
density yenyewe ndio hii😂😂😂😂 wanjala punguza ufala aiseeUpperhill Nairobi Kenya, will overtake Sandton South Africa in the coming few years after all road projects are done
View attachment 1519136View attachment 1519137View attachment 1519138View attachment 1519139View attachment 1519140
ndio munavodanganya watu hvi 😂😂There are projects in Nairobi that are big. This project in Ngara is huge.
10 Towers 8 Floor
6 Towers 15 floor
10 Towers 20 Floors
6 Towers 25 Floors.
Sorry for poor quality
View attachment 1519152View attachment 1519153View attachment 1519154
Kuna hiyo familia ya Guptas na Oppenheimer wao ndio ma architecture wa Rushwa SA,wame corupt ANC yote.na yote haya ni maslahi ya mtu mweupe na ku mproof wrong mwafrica kwenye mambo ya uongozi.....mpaka kufikia mwaka wa 92 Ndani ya ANC kulikuwa kumebaki vingozi wawili tuu Thabo Mbeki Na Chriss Hani.Cha ajabu South Africans wakaiga Kenya ukabila na ghafla Zuma akampindua kabla Zuma hajakaa vizuri Ramaphosa akampindua Zuma na nahisi Ramaphosa hatakaa sana!
Chek hyo comment,,nafkiri tunaeleweka.Inaonekana news za Tanzania zinapendwa sana Kenya, mbona hii ni habari ndogo sana kwa vyombo vya habari vya nchi jirani kuirusha?
Mimi nafrah kwa sababu inaelekea sasa baada ya kuona kwamba utamaduni wa mabeberu sio saizi yao,wanageukia utamaduni wetu,kwa hiyo culture yetu inapanuka...ukikaa na kufatilia utakuja kuona kwamba kuna namna tuna wa influence sana kwenye maswala km namna Nchi yetu inavyoongozwa,Music wetu,,chakula chetu,mavazi yetu..lugha yetu,,life style yetu, nk......miaka kadhaa ijayo tutakuwa tuna watawala.Inaonekana news za Tanzania zinapendwa sana Kenya, mbona hii ni habari ndogo sana kwa vyombo vya habari vya nchi jirani kuirusha?
Aisee, wakenya wameona hii?Huyu anabishana kule twitter badala atumie jiji lao eti anatumia jiji la Dar es salaam.