Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar es Salaam has a long way to go. Nairobi is way ahead.
View attachment 1517867

Hii ni mbolea mnataka kupanda Maua au temporary dump [emoji23]. Hapo pembeni.

Barabara hiyo nzuri, lakini sisi tulikua tunaongelea Sura ya Eneo lenu muhimu ( Around BRITAM, KCB tower and UAP) Tena wewe hapo kuna mwaka ulisema nyaya zote hapo Upper Hili zitakua Underground. Hadi leo spider web kama kawa.

BTW Hiyo si Thika Highway?


 
Hyo video imekuumiza sana hadi naskia raha..ungeli screenshot yote kuanzia mwanzo uilete pia

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Ukweli imekuchoma na huu uchafu wa sidewalk in upperhill....mko hapa kusifia ...alafu mnaforce tufanane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....tumia macho wa sio akili kuangalia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mana najua nimzitoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…