Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo kuna abiria m 4 wa transit,wa kutokea Tanzania,ngoja ATCL ianze route za ulaya na kuzirudisha lufthansa,british airways na etihad kwenda dar
Show me those 4 million. And do you know the meaning of transit passengers kweli?
 
Do you know better than TNBS?
Yes i know better,

Data kutoka mamlaka ya mawasiliano TCRA zina onesha Tanzania kuna jumla ya radio station 183 Tanzania nzima,

Nimeangalia kwenye hiyo list ya 183 radio station kuna baadhi ya radio station hazipo kukiwa na maana ya kuwa hawajaupdate,

Na nazifahamu radio station kibao ambazo hazijawekwa humo.

https://www.tcra.go.tz/en_documents/178
 
Yani uko proud na radio stations?
I`m only trying to put facts straight. Can you remember last year when you were making noise here that Tanzania has the most radio stations in the region? That`s why I had to post the radio comparison here. I`m now glad zile uongo zenu zimeisha
 
Yes i know better,

Data kutoka mamlaka ya mawasiliano TCRA zina onesha Tanzania kuna jumla ya radio station 183 Tanzania nzima,

Nimeangalia kwenye hiyo list ya 183 radio station kuna baadhi ya radio station hazipo kukiwa na maana ya kuwa hawajaupdate,

Na nazifahamu radio station kibao ambazo hazijawekwa humo.

https://www.tcra.go.tz/en_documents/178
Actually you have just confirmed to me that indeed there are only 183 radio stations in Tanzania 😂 😂 This is a screenshot from the link you have given me.

Screenshot (169).png
 
Ok, endelea kuzifahamu.
 
Actually you have just confirmed to me that indeed there are only 183 radio stations in Tanzania 😂 😂 This is a screenshot from the link you have given me.

View attachment 1506742
Nimekupa hiyo link nikakumabia wameandika radio station jumla ziko 183 nikakuambia hiyo list haipo updated,

Hizi ni baadhi ya radio station ambazo hazipo kwenye hiyo list ya 183,

- Wasafi fm
-E fm
-Arusha one fm
-NYU fm radio
-TBC Arusha
-Boresha radio
-CG fm radio
-TK fm Tanga
-Chuchu fm
-Mega fm Arusha
-Libo radio
-Street one radio
Hizi ni baadhi tu,

Data zako nyingi unazozitoa google hazipo updated.
 
Tuyaache hayo,mko na radio gani yenye kusikika zaidi ya citizen
Kiss 100
Milele fm
Radio Jambo
Ghetto fm
Capital fm
NRG radio. This is the best radio station in East and Central Africa.
Classic 105
 
Nimekupa hiyo link nikakumabia wameandika radio station jumla ziko 183 nikakuambia hiyo list haipo updated,

Hizi ni baadhi ya radio station ambazo hazipo kwenye hiyo list ya 183,

- Wasafi fm
-E fm
-Arusha one fm
-NYU fm radio
-TBC Arusha
-Boresha radio
-CG fm radio
-TK fm Tanga
-Chuchu fm
-Mega fm Arusha
-Libo radio
-Street one radio
Hizi ni baadhi tu,

Data zako nyingi unazozitoa google hazipo updated.
Hizi ni whatsapp groups my friend 😂 😂 😂 . You cant tell me that TCRA and TNBS are such dumbs that they fail to recognize all radio stations in Tanzania.
 
Acha ujinga hujui kitu chochote na hutaki kuoneshwa kuwa haupo sahihi,

Hizo nimeweka kwa list ni radio station na zipo na frequency na ni kati ya radio zinazopendwa,

Data zako nyingi hazipo updated.
 
Nimekuambia hizo ni Whatsapp groups ndio maana hazijakuwa recognize na relevant authorities. Data za TNBS and TCRA are current and updated so you should just keep quiet
 
Shida yako ni hutaki kuona Tanzania ina radio station nyingi kuliko kenya na hiyo ni mentality ya kijingwa mlioridhiswa ya kutopenda kuona jirani akiwa kawazidi,

Tanzania kuna radio station nyingi na hii kitu hutaki kusikia lakini hakuna kitu utabadilisha.
 
Kiss 100
Milele fm
Radio Jambo
Ghetto fm
Capital fm
NRG radio. This is the best radio station in East and Central Africa.
Classic 105
Hizo Kiss, Capital fm, Classic ni za UK au copy and past? Those radio station can also be found in the UK. Can you confirm if those radio stations belong to Kunya? Kenyans don't own anything in their own country. Much of the land is owned by white farmers and businesses owned by indians. Unfortunately, whichever you're bragging about doesn't belong to indigenous Kenyans.
 
Shida yako ni hutaki kuona Tanzania in radio station nyingi kuliko kenya na hiyo ni mentality ya kijingwa mlioridhiswa ya kutopenda kuona jirani akiwa kawazidi,

Tanzania kuna radio station nyingi na hii kitu hutaki kusikia lakini hakuna kitu utabadilisha.
Usilie broh, we are not fighting here. Why can`t you show us the updated list of all radio stations tuone nani muongo kati yako na TCRA and TNBS.
 
Back
Top Bottom