ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Hawezi shindwa vp na amezidiwa kila konaUhuru hawezi shindwa...ata NASA wafanye Magufuli flag bearer
Huu wakati umekua mgumu sana kwake
Hawezi shindwa vp na amezidiwa kila konaUhuru hawezi shindwa...ata NASA wafanye Magufuli flag bearer
Lakini jo acheni uduu, me najua roller coaster inakaa ivi, sijui hio yenu ni niniZanzibar roller coaster Kenya hakunaView attachment 523944View attachment 523946View attachment 523947
😀😀😀😀😀 inakunyima usingizi kabisaEbu nitumie link ya 84b USD kwanza yani Tshs mnaconfuse na USD
Tuma za kenya usituoneshe picha za nchi za watu😀😀😀😀😀😀Lakini jo acheni uduu, me najua roller coaster inakaa ivi, sijui hio yenu ni nini
View attachment 523984 View attachment 523985
Nliulizia link juu net cjaona kitu kama 84b😀😀😀😀😀 inakunyima usingizi kabisa
Kua mpole nikueleweshe...
magufuli aliunda kamati mbili kuchunguza makontena ya madini 270 yaliokamatwa bandarini....
Kamati zikaonesha hasara nchi iliopata kupitiwa kampuni za madini za kukwepa kodi na imebidi aje mkurugenzi wa acacia kutoka canada kuja kusolve issue na wamekubali kulipa madeni yote na kukaa na serekali meza moja kupitia mikataba upya ili kila mmoja anufaike
Amout hio ilitajwa kwenye kamati zilizoundwa infact ni zaidi ya 84b na wamekubali kulipa na kukaa meza moja kwa mazungumzo zaidi...Nliulizia link juu net cjaona kitu kama 84b
safi .....Mpaka pesa zirudi 😀😀😀😀😀
Hahahhahhaha that's too normal...I just want the CBD not swimming pools and beachesOMG!!!....I can't believe my eyes.... Zanzibar!!.Zanzibar.
kenyans be like no no that isn't Zanzibar...it's Capetown.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sawa nitumie CBD sasa