Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vitu gani hvo? Hiyo esijiara mchwara ya kupitishia Gari moshi,na hizo ndege ni zenu ama ni za wanaume?
 
Hahahaha nafurahi kuona kuna vitu umeviruka, jamani WaTz mmeona ss huyu karuka baadhi which means hakuna kitu ipo kenya zen bongo hamna but kuna vitu bongo vipo ila kenya hamna, raha kudadadeki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
SGR ya Kenya imeingia hadi bandari na inafanya kazi.
So what is ur concern? We have built sgr line of about 500km so far, so do u believe that we can fail to build sgr line from the main station to the port which is absolutely less than 1km? Can u imagine? U must be crazy to believe that foolish my friend.
 
Tangia tz alivyoingia kwenye middle income sijaona mkunyaland hata mmoja anayebisha.

Tutaheshimiana mwaka huu na bado 2020-2025.
wanasubiri mpoe kwa wenge na mihemko maana makelele yamezidi sana kana kwamba Tzn ndio ya kwanza kuingia mido inkamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…