Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu Nimerudi Rasmi JF baada ya Kutimkia Twitter,
Watani Mkae Mkao Wa Kula Gallery Imejaa Picha So Vitu Vingi Khusu Dar Hawajui Na Mbaya Zaid Watanzania Hatuna Time Ya Kupiga Pic




*Stay Tune*
Karibu sana Mkuu tunasubiri vionjo vyako, ila kwa ss hawa Makolo wameanza kupoteza hamu na battle [emoji3][emoji3][emoji3]
 
KOT Washaanza kulialia huko online baada ya kuona Dodoma bus stand, sasa wageukia electrical SGR Tanzania! Wivu na roho ya kwanini, kiliba na vijembe vya kujifariji mwendo mmoja!









Ss mbn Wakenya wa humu huwa wanapenda kujifariji kwamba station yao ni nzr kuliko hii ya Dar, kumbe wanaitamani sn [emoji3][emoji3]
 
Wacha uongo border ya Mozambique na Tanzania haijawahi kubadilika leta proof ya unachoongea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…