mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,180
- 3,458
Shule yangu minaki...daaah long time sana....
Yule mkenya hatimaye amechange ile Avatar yake ya ldc ss ameweka nyingine, amenifurahisha sn pia ameonesha heshima kwa Tz, hakika ilisemwa lazima watii na wameanza kutii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kuna corona huko hamna mtu anaenda infection inaelekea 10,000!vyuma vimekaza 😂😂😂👇👇👇
inahusu nn hii?Mpe hii aweke.
View attachment 1495135
Tanzania ni baba yenu mnabisha mambo yetu kimya kimya haya mizigo iliyokua inapitia kwenu saivi inotokea Tanzania moja kwa moja kenda ugaibuni mnasafirisha maparachichi mtasema vizuri mnayalima wapi huko kunyaland
Naomba unitumie avatar ambayao anatumia saiv cos namtafuta simpati au kabadilisha na jinaMpe hii aweke.
View attachment 1495135
Nchi zenye Kipindu pinduinahusu nn hii?
Nchi za Africa zinazo ongoza kwa cholera outbreak.inahusu nn hii?
Kabadili avatar ameweka ile ramani ya African Union.Naomba unitumie avatar ambayao anatumia saiv cos namtafuta simpati au kabadilisha na jina
jamani nikiwa kama mwenyekiti wa thread hii naombeni ndugu zangu bakora munazotandika kwa sasa musitishe kwani mumehatarisha thread hii, mpaka sasa kuna ndugu zetu hawana amani kabisa so please stop na atakaendelea ntamchukulia hatua za kinidhamu kama mwenyekiti
chairman
ichoboy
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nshaisaveMpe hii aweke.
View attachment 1495135
inabidi niwe mkali ndinda maana kama bakora sasa zinatosha dah mpaka huruma imeniijia 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji3][emoji3][emoji3]Fresh ngoja nimfuate pm nimwambie akuje huku, alikuwa ananipa hasila ila Mungu katupa jiwe naona anatufikisha inchi ya ahadi MK254
[emoji3][emoji3][emoji3]jamani nikiwa kama mwenyekiti wa thread hii naombeni ndugu zangu bakora munazotandika kwa sasa musitishe kwani mumehatarisha thread hii, mpaka sasa kuna ndugu zetu hawana amani kabisa so please stop na atakaendelea ntamchukulia hatua za kinidhamu kama mwenyekiti
chairman
ichoboy