Wivu tu unakusumbua. Mnaelekea lini? Kama mngekuwa mnaelekea sasa hivi si mngekuwa kwenye hiyo list?? Tulishawaambia kuwa tumeshawavalisha chupi Usoni.Poleni wapoko kwa kufika lower middle income,Kenya tunaelekea upper middle income kama Indonesia tkifikisha 4,000pp tuko hapo 3,868
High risk high reward boss..telecom ina hela ..ethiopia wana watu karibia mili 90.Bhati Airtel inaweza kuingia yenyewe! That market is too risky my friend!
Kwani ni kwa train yenu ya diesel mnatumia,au sharti pato la mtu mmoja mmoja likue kwa mwaka???[emoji16][emoji16][emoji16]Poleni wapoko kwa kufika lower middle income,Kenya tunaelekea upper middle income kama Indonesia tkifikisha 4,000pp tuko hapo 3,868
Kenyans after they found out on the internet that Tanzania has twice more Dollar millionaires than kunyaland and that Tanzania is now a middle income country
View attachment 1493097
Nimeisha muhabalisha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safi Kabisa. Kuna jamaa atabadilisha Profile Pic soon .
Hapa tunaongelea reality na co makaratasi km mlivyo nyie, unataka muwe upper middle Income wkt over 70% ya Wakenya wanaishi maisha ya chooni.Poleni wapoko kwa kufika lower middle income,Kenya tunaelekea upper middle income kama Indonesia tkifikisha 4,000pp tuko hapo 3,868
Haaaahaaaa nyenyenye...akuna jipyaaa shinzi typeWoi dyo mnafika middle income, poleni,Kenya sasa inaelekea upper middle income
Kenyans after they found out on the internet that Tanzania has twice more Dollar millionaires than kunyaland and that Tanzania is now a middle income country
View attachment 1493097
walijiimbia sana nyimbo zakujifariji na takeimu zao za uongo......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mombasa ina milionea wengi kuliko Tanzania Nzima.
nilisema mkuu hawa ni wakutapatapa walikuwa wanasema kuwa sisi ni maskini tufike level yao ndiyo tuzungumze,sasa wamebadilisha gia angani wanaanza ooh tunaelekea upper income........"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]inaelekea wapi??? hahaha mukifika hapo munitag[emoji23][emoji23][emoji23]
dawa ya deni ni kulipa na dawa ya mahari ni kulala bila nguo😂😂😂
Sasa mchina ndio anaiokota bandari ya Mombasa bure ,yaani kumsukuma mlevi 😁Watabeba hadi bure,white Elephant itawaua!
Halafu walivyo kimbelembele kujifanya wako smart kupigana na corona kwa kufuata approach ya rich countries wakati uchumi unateketea!Sasa mchina ndio anaiokota bandari ya Mombasa bure ,yaani kumsukuma mlevi 😁
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]