Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,180
- 107,774
Hapa Posta mpya panahitaji tower la maana haswa hiki kiwanja cha Tanzania Postal corporation! Tanzania Postal corporation needs to up their game! Hata upande wa Embassy Hotel kunahitaji tower ya maana!
Yaani huyu jamaa alikua bilionea ($ millionaire) kabla hata hajapata hayo mawe:
Tunaomba data za Kenya tulinganishe, yeyote mwenyenazo atuwekee, wakenya hawawezi kuzileta, wanaogopa kujidhalilisha.access to clean water [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji116][emoji116][emoji116]
rural 70.1%
urban 84%
Actually it is 82% according to Kadogosa today!umeshindwa kuzuia hasira😂😂😂😂
note that
phase one 300km = 80%
phase two 422km = 38%
the modern electric train in africa
Ndio mkuu,hayo ni makusanyo ya mwezi.Sema vizuri hiyo Tshs 2 trln ni makusanyo kwa mwezi!
Yatakua ni mwaka sio mweziNdio mkuu,hayo ni makusanyo ya mwezi.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee hawa washikaji wana milacle ya kipekee kabisa hapa duniani....
GDP yetu asilimia 80% ni mali ya watz mabeberu ni20% wakati Kenya GDP yao 80% ni Mali ya mabeberu isipokuwa 20% tu ndiyo ya wakenya ni kama Nigeria tuLamu port ipi sasa?
Hii? View attachment 1490683
Haswaanachompendea ni katulia.. very very calmly yan!
Hapana,Tsh.trillioni mbili makusanyo kila mwezi,kama ni kwa mwaka,ina maana kila mwezi ni ngapi?Yatakua ni mwaka sio mwezi
Ya mwezi kama budget ni Tshs 30 trln na around 80% contribution from internal revenue collections, that amount can't be a year's collection!Yatakua ni mwaka sio mwezi