The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Ss nasubiri mkenya wa kuijibu hii, mana ilikuwa tukiweka hii wao wanaweka ile ya LDC, ss ngoja niweke af tuone wao wataweka ipi, Tz is so lonely in the region[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna ile ramani ya Africa inayoonesha ldc countries huwa wanapenda kuituma tuma humu itabidi kwa sasa wajiandae kisaikolojia halafu mwingine ndio kaiweka kama dp yake humu.
Garimoshi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji51]View attachment 1490299
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji51]View attachment 1490299
Heheheheheeee mambo ni mengi mpk mengine hatuyajui [emoji3][emoji3]Flyover inajengwa wap hii
kunguni wa kikenya hawaaminiwanasema TZ iliingia MIC mwaka 2018, WB wakaiweka TZ chin ya uangalizi kwa miaka 3 kwa wamekidhi vigezo kweli, then ndio waitangaze kuwa TZ ni MIC... lets wait for that 1,July
Tupo vzr sn, Jpm anaijua dawa yao washenzi hawa.Yan mpaka tunabembelezwa kukopa while wazee wa lockdown wanaendelea na lockdown ya ili waonewe huruma wa kupewa mkopo [emoji2]
Gari moshi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji51]View attachment 1490299
Hivi huwa wanabisha nini tukiwaambia ka GDP ka makaratasi?Watahama humu we ngoja tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Wauwee baba [emoji3][emoji3]
Ni kuwakamulia tuuu!Kenya ni simba asie na meno.Tupo vzr sn, Jpm anaijua dawa yao washenzi hawa.
Taifa langu,Nchi Yangu..Songa mbele watu wako tunafurahia!desturi zetu zitukuke milele!love[emoji1241][emoji1241]
Mkenya atajuta kuwasaliti wenzake kwa kukimbilia uchumi usio na malengo.na ni lazima wajue tuko mbali kweli kweli.Ss nasubiri mkenya wa kuijibu hii, mana ilikuwa tukiweka hii wao wanaweka ile ya LDC, ss ngoja niweke af tuone wao wataweka ipi, Tz is so lonely in the region[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1490312
Wapi hii mkuu
Mnyamaa
Mnyamaa
Highland villas, Mikocheni.Wapi hii mkuu