Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna ile ramani ya Africa inayoonesha ldc countries huwa wanapenda kuituma tuma humu itabidi kwa sasa wajiandae kisaikolojia halafu mwingine ndio kaiweka kama dp yake humu.
[emoji4][emoji16][emoji16][emoji2] kweli kabisa maisha yashageuka
 
Yan mpaka tunabembelezwa kukopa while wazee wa lockdown wanaendelea na lockdown ya ili waonewe huruma wa kupewa mkopo ๐Ÿ˜ƒ
Hiyo ndiyo inaitwa "respek" kaka .

Wametuelewa kwa kutambua tuko njema kichwani, sisi sio wale waafrika waliowazoea, kupelekwa pelekwa kama punda. Niliwahi kusoma makala moja kuhusu Magu, nafikiri ilikuwa mwanzoni mwa 2016, wakisema, "huyu Rais ni kama hatumuelewi elewi vizuri". Wakimaanisha siyo kama wale...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ