hao ndio wale walizoea vya bure πππHahaha,kaka mbona una hasira na JPM?! Inaonekana wewe ndio mmoja alowapiga dole alafu akakupa unuse,ndio maana uko frustrated naye,pole ndugu,hii dunia nikuvumilia tu hakuna namna.
hilo ndio eneo liko covered πππ au munajenga mita 10 express way munaona watu wajinga sana humuExpressway loadingView attachment 1489534View attachment 1489535
mambo yanaivaWB: Tanzania is officially going to be a middle income country [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Expressway loadingView attachment 1489534View attachment 1489535
wameona haibu yaani LDC ina millinaires wengi kuliko MLDC... hawana namna ni lazima waiweke sehemu ya haki yakeTunazika kingine tena soon, zile ohhh Mombasa ina millionea kuliko Tanzania yote tupa kule[emoji23], Soon LDC tupa kule. Tunabaki na Jee dee Pee [emoji23].
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] tunaenda na uhalisia wa maisha na siyo kufake mambo....The real middle income country sio ile midofinga kantri.
hilo ndio eneo liko covered [emoji23][emoji23][emoji23] au munajenga mita 10 express way munaona watu wajinga sana humuView attachment 1489603
Tunasubiri kuona Trains zetu za umeme zikiwa Parked hapo View attachment 1489520
@daresealaamcity on IG
kaka wakenya umewaona lakini wanavyopita kimya kimya kwenye habari ya Tz kuwa official MLDC[emoji16][emoji16]
Kuna ile ramani ya Africa inayoonesha ldc countries huwa wanapenda kuituma tuma humu itabidi kwa sasa wajiandae kisaikolojia halafu mwingine ndio kaiweka kama dp yake humu.[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] tunaenda na uhalisia wa maisha na siyo kufake mambo....
tumetisha story za LDC zishaisha sasa kinachofuata wataanza ooh sisi tupo MLDC mda mrefu....
kama tunavyojua siku ya kufa nyani miti huwa vipi
inaonesha ww kwenye maswala ya ujenzi huna ulijualo ππππ yani u cover 10 meters alaf munajenga nn hapo do u think here people are stupid πππUlitaka waanze kwa kulima 27km mara moja?., a journey of 1000miles begins with one step, huwezi jenga 2nd floor kama ata haujalima shimo ya msingi wewe vipi? Unatamani sana hili lisitendeke naona, lakini pole. We will always be on top of you[emoji23][emoji23][emoji23] povu ruksa., leta kibera ukitaka[emoji23][emoji23][emoji23]
hao nawajua vzr mpaka sehemu alama za chupi zao zilipoπππkaka wakenya umewaona lakini wanavyopita kimya kimya kwenye habari ya Tz kuwa official MLDC[emoji16][emoji16]
kuna mkenya mmoja alidanganya humu kua wao wakijenga barabara hawaeki construction board[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1489638View attachment 1489639
ndio maana simuoni πππYule mjinga na co,
Yule aliyekosa ustaarabu naona mod wamemnyoosha.
Flyover inajengwa wap hiiinaonesha ww kwenye maswala ya ujenzi huna ulijualo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani u cover 10 meters alaf munajenga nn hapo do u think here people are stupid [emoji2][emoji2][emoji2]
huu ni ujenzi wa fly over hapa na eneo lote lipo coveredView attachment 1489632View attachment 1489633View attachment 1489634