Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is UNEP n UN Habitat American?
 
Expressway ndio mnakata miti kumbuka SGR ni 80%Complete
[emoji23][emoji23] kipande cha Isaka Mwanza ama wapi? hizi % tangia 2017 zinachanganya.

Yani SGRr imekwama for 4 years barely 76km from Dar. That's equivalent to SGR ya Kenya kukwama Kwale county.
Kenyans would be OUTRAGED.



 
Umeona ss ulivyo outdated hapo tayari daraja lishawekwa hyo ni sehemu korofi Ruvu [emoji3][emoji3]
 
Angalia hii video ila ukimaliza kuangalia usilie please [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]

 
escalator za nn wakati terminal haina airbridges au ndo kama Nairobi SGR Terminal? Unapanda na kushuka kabla ya kupanda tena kuingia kwenye meli! Hivii lini Kunyaland itajifunza design za kisasa? Inakaa mwenye wheelchair hawezi kulitumia hii terminal inabidi aende moja kwa moja kwenye meli bila kuingia kwenye jengo! Aisee only in Kunyaland!




Vitu ni tofauti na proposed design!





Construction of Kenya’s cruise ship terminal nears completion!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…