Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kikwete kajenga 8500 na sasa tuna 13,000
Magu 3500 +JK 8500 = 12000
13000 - 12000 = 1,000

Ina maana nyerere, mwinyi na mkapa wamejenga km 1,000. Tu?

muongezee na hii.. mwinyi na mkapa kila mmoja kakaa miaka kumi.. kwahio kwa hio miaka kumi ya kila mmoja, wamejenga chini ya 500km tu kwa miaka yao kumi kila mmoja???
 
Ukisikia mapenzi kindakindaki ndio hayo sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa anachekesha sn yn kwa jinsi Magu anavyokinukisha kwenye hyo sekta ya miundombinu mpk hao viongozi waliomtangulia wanaona haya, juzi pale bungeni km uliwaangalia vzr viongozi waliomtangulia Magu wali loose confidence kabisa, but co vzr kuwasema vby cz nao wali play part yao ktk ujenzi wa taifa.
 
kila rais kafanya makubwa kwenye nchi hii kutokana na muda na wakat uliokuwepo msisahau suala la amani na utulivu msisahau suala la kutokua na ukabila ni mambo makubwa yamefanyika
 
Fact...tunaheshim kile waliweza kwa nafasi yao....ndio mana kukawa n ordinal na extra ordinal
 
Mfano mkapa aliwasaidia sn watu wa kusini walikuwa wanatabika mnoo kupita kuasi ...kila rais alishinda mechi zake n nimuhim washukuriwe kwa hilo.
 
Anataka kulinganisha hiyo na hii πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚View attachment 1486669View attachment 1486671View attachment 1486673
This station is total crap. Huwezi hata siku moja kulinganisha huu ushuzi wa China na station ya Dar. Mnaingia chini mnapanda juu Halafu mnashuka chini tena kupanda treni zenu za kale πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Waliwawekea extra top floor mhisi kuwa na nyie mnaweza kupanda escalators Ila Ni ujinga tu. Station ya Dar ni bomb! Four floors. Both MGR and SGR trains zitafanya operations hapo. Plenty of space for other businesses such as retailers, banks, and restaurants. Na kitu distinct zaidi ni kuwa sisi tukipanda juu hatushuki chini kupanda treni Coz sgr yetu ipo elevated. Please eat that and enjoy the views as the station nears completion.
 
Tafauti ya hii station na zile toilets za Machakos ni nini?
 
Akirudi nitag [emoji3][emoji3]
 
The tone of your voice is that of desperation. You sound so desperate to the point of name-calling just to drive your point home (which is your character anyway). What's so special about an elevated sgr inside that station? Does it add to functionality of the station or was it just a waste of money?

And then you call it "extra floor". So can we also that yours also has three extra floors that serve no purpose at all? And just a polite reminder, Nairobi has both sgr and mgr stations just meters apart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…