joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
China ni "Communist state" na haitokaa ibadilike, kufungua masoko na kufanya biashara huo sio ubepari, bado china na Tanzania zinafuta misingi ya kijamaa inayosisitiza kwamba dola(Serikali) ndiyo yenye jukumu la kuhakikisha kila raia ana haki ya kupata huduma bora za msingi za kibinadamu bila kujali kipato chake.China ilikuwa ni nchi ya kijamaa but nowadays it's no longer a communist state, ujamaa ulisaidia kwa wakati wake lkn kwa sasa haiwezekani ku exist, ni ngumu sana, kwa kipindi kile ulifaa hasa ktk kujenga misingi ya utu, lkn kwa sasa haiwezekani mkuu tukubali tukatae, hata hapa Tanzania umeshaanza kututoka japo ile misingi bado tunayo but ule ujamaa umeondoka miongoni mwetu, ukitaka kuamini angalia hata kwa ngazi ya familia, unakuta chao chao chetu chetu iko hvyo, alafu mkuu ubepari kwa Afrika unafeli kwasababu ya ulafi wa viongozi wetu, lkn ukimpata kiongozi dizain ya Magu hamuwezi shindwa, btw even our president amejipambanua kwmb yy ni bepari.
Binafsi ni muumini wa socialism ila nnachojua mm hii stage haiwezi ku operate kwenye zama hizi labda kwa kuigiza tu cz nature tuliyonayo dunia ya leo socialism mode ni ngumu, but as long as kwa ss tunaelekea pazuri na ule ujinga tuliokuwa nao huko nyuma wa kuamini kila mtu ni ndugu yetu ss umeanza kututoka na tunabanana nao kmy kmy.China ni "Communist state" na haitokaa ibadilike, kufungua masoko na kufanya biashara huo sio ubepari, bado china na Tanzania zinafuta misingi ya kijamaa inayosisitiza kwamba dola(Serikali) ndiyo yenye jukumu la kuhakikisha kila raia ana haki ya kupata huduma bora za msingi za kibinadamu bila kujali kipato chake.
Serikali katika misingi ya Communist/Ujamaa, lazima iwe na mamlaka kamili katika umiliki na matumizi ya ardhi, kuhakikisha kila mwenyekuhitaji ardhi kwa ajili ya kujipatia mahitaji ya kibinadamu kama chakula na malazi anaipata bila kunyonywa na matajiri, na kuhakikisha kwamba ardhi ya nchi inatumika kwa manufaa ya watu wengi.
Communist/Ujamaa unazingatia kwamba wale matajiri wanakatwa kodi kubwa ili kuwasaidia masikini, kwamba Afya ya msingi(Primary health care), elimu ya msingi ni haki ya kila raia na lazima vipatikane bure bila malipo.
Hayo ndio mambo ya msingi yanayotofautisha Communism/ Ujamaa vs Capitalism. China na Tanzania bado wanafuata hayo yote, Tofauti na nchi za Kibepari ambako ardhi ni bidhaa sawa na bidhaa yoyote ile, Leo hii ukiwa na pesa unaweza kwenda Marekani ukajinunulia kisiwa chako bila hata kuwa raia.
China ni mfano mzuri wa mafanikio ya siasa ya Ujamaa, Tanzania tunapiga hatua chini ya siasa na misingi ya Ujamaa, Cuba, Namibia, Botwasana zote hizo zinafuata misingi ya ujamaa.Binafsi ni muumini wa socialism ila nnachojua mm hii stage haiwezi ku operate kwenye zama hizi labda kwa kuigiza tu cz nature tuliyonayo dunia ya leo socialism mode ni ngumu, but as long as kwa ss tunaelekea pazuri na ule ujinga tuliokuwa nao huko nyuma wa kuamini kila mtu ni ndugu yetu ss umeanza kututoka na tunabanana nao kmy kmy.
Sure.China ni mfano mzuri wa mafanikio ya siasa ya Ujamaa, Tanzania tunapiga hatua chini ya siasa na misingi ya Ujamaa, Cuba, Namibia, Botwasana zote hizo zinafuata misingi ya ujamaa.
Tatizo kubwa ni ulegevu na udhahifu wa kusimamia rasilimali za nchi katika hizi nchi za dunia ya tatu. Sasa hivi tunaona tofauti kubwa sana kati ya Magufuli na waliopita bila kubadilisha katiba wala Sera za uchumi, tofauti ni mtu aliyepo Ikulu tu.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema"Huwa anasoma na kurudia kitabu cha Azimio la Arusha, hajawahi kuona Mapungufu yake". Kwa mazingira ya nchi zetu hizi za Africa, Ujamaa is the best way to go, only we need serious and visionary leaders.
Kwa upande wangu nadhani kama hukuapply ubepari wakati wa utumwa wa kipunda ni ngumu sana kufanikiwa kupitia ubepari kwa sasa kwa sababu ili ufaninikiwe kwenye ubepari ni lazima utumikishe tabaka fulani ambapo haisaidii sana kama tabaka hilo ni mojawapo ya jamii zilizopo nchini kwenu. Ubepari wanaoutumia mataifa yaliyofanikiwa kwa sasa ni:China ilikuwa ni nchi ya kijamaa but nowadays it's no longer a communist state, ujamaa ulisaidia kwa wakati wake lkn kwa sasa haiwezekani ku exist, ni ngumu sana, kwa kipindi kile ulifaa hasa ktk kujenga misingi ya utu, lkn kwa sasa haiwezekani mkuu tukubali tukatae, hata hapa Tanzania umeshaanza kututoka japo ile misingi bado tunayo but ule ujamaa umeondoka miongoni mwetu, ukitaka kuamini angalia hata kwa ngazi ya familia, unakuta chao chao chetu chetu iko hvyo, alafu mkuu ubepari kwa Afrika unafeli kwasababu ya ulafi wa viongozi wetu, lkn ukimpata kiongozi dizain ya Magu hamuwezi shindwa, btw even our president amejipambanua kwmb yy ni bepari.
Short and clearBinafsi ni muumini wa socialism ila nnachojua mm hii stage haiwezi ku operate kwenye zama hizi labda kwa kuigiza tu cz nature tuliyonayo dunia ya leo socialism mode ni ngumu, but as long as kwa ss tunaelekea pazuri na ule ujinga tuliokuwa nao huko nyuma wa kuamini kila mtu ni ndugu yetu ss umeanza kututoka na tunabanana nao kmy kmy.
Nmekubali kuntu zakoChina ni mfano mzuri wa mafanikio ya siasa ya Ujamaa, Tanzania tunapiga hatua chini ya siasa na misingi ya Ujamaa, Cuba, Namibia, Botwasana zote hizo zinafuata misingi ya ujamaa.
Tatizo kubwa ni ulegevu na udhahifu wa kusimamia rasilimali za nchi katika hizi nchi za dunia ya tatu. Sasa hivi tunaona tofauti kubwa sana kati ya Magufuli na waliopita bila kubadilisha katiba wala Sera za uchumi, tofauti ni mtu aliyepo Ikulu tu.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema"Huwa anasoma na kurudia kitabu cha Azimio la Arusha, hajawahi kuona Mapungufu yake". Kwa mazingira ya nchi zetu hizi za Africa, Ujamaa is the best way to go, only we need serious and visionary leaders.
Ninajivunia sana nchi yangu ya Tanzania. Viva 🇹🇿
Kiswahili kinazd kukata mawingu, ila hawa kina Ochieng huwa wanakidharau kiswahili but kikisifiwa wanaanza kusema kimetokea kwao, hawa jamaa wana tamaa sn.kuna watu wanashangilia kujua lugha za mabeberu, sisi tunajivunia lugha yetu kusambaa na kutambulika huko kwa mabeberu
Quality as usual [emoji3][emoji3]