Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heheheheheeee kwn walikuwa hawana habari za mTz wa leo?
wajifunze waangilie kwa makini hayo mataifa yaliyo watosa kura yanaishi vipu,,,kwa umakini ni mataifa ambayo yanaishi maisha yao si mataifa ya kutumika...
1.Iran
2.China
3.Russia..

kisha tazama hayo yaliyobakia ni mataifa yanayo move kwa nguvu ya mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…