Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,224
- 107,847
Yaani hili jengo ndio la maabara ya chuo kikuu eti cha sayansi na teknolojia? Hili jengo na wodi za hospital zina tofauti gani? Vyuo vingine vinakera kwa kweli jengo ugly kiasi hicho ,kwamba hawajaona majengo ya vyo vya wenzao kama udsm au udom nk nk? hawa ni poor kabisa kwenye ubunifu wa majengo yenye mvuto afu wanatoa na kozi ya architecture
unatumia ainana gani ya simu ku download picha?? Mbona hazina quality picha zako.??More of beautiful Mombasa.,View attachment 1479647View attachment 1479648View attachment 1479649View attachment 1479650View attachment 1479651View attachment 1479652View attachment 1479653View attachment 1479654View attachment 1479655View attachment 1479656View attachment 1479657View attachment 1479658View attachment 1479663View attachment 1479664
Western zone je? mikoa Kagera, Kigoma, Tabora, Rukwa, Katavi, Ruvuma, Morogoro na Iringa mbona umeziacha unajua hiyo mikoa ni zaidi ya nusu ya nchiHii ni idea nzuri ila tuanze mdogo mdogo maana miradi mikubwa still inataka hela ndefu..
Wazo zuri kwa siku za mbeleni
ya Bakhresa halafu wanajeshi ndo wanaelezea? wacha utani mradi wa kampuni za serikali!itakuwa ile ya bakhresa kule bagamoyo sijui pwani au sayona
ya Bakhresa halafu wanajeshi ndo wanaelezea? wacha utani mradi wa kampuni za serikali!
Nimeku-challenge utoe nondo usiache vitu vinaeleaelea nilijua zile packaging boxes ni architectural model design za ghorofa ati? Nikajiuliza mradi gani huu? Nimeiangalia picha mara kumi sikupata jibu! 🤷♂️ 😀hakuna mjeshi anaeongea hapo, huyo ni msaidiz wa Rais.. hiko ni kiwanda cha Avocado kipo mbeya
View attachment 1480713
Hawana utaalamu wa kusuka nondo.naona wameweka mabanzi badala ya concrete! 😀😀😀😀
hili lilitakiwa lijae then lipasuke lisombe kijiji ili wapate akili kidogo kuwa ufisadi si deal!Hawana ufundi wa kusuka nondo.
Halafu ujenzi wa water tank kunakuwaga na matofali yake special kwa kazi hiyo naona kunyaland wanajijengea tu ili mradi.hili lilitakuwa lijae then lipasuke lisombe kijiji ili wapate akili kidogo
Majinga hayoUfipa watapinga .. watasema wao wanahitaji Uhuru wa kuandamana [emoji3][emoji3]