TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
Hii ni idea nzuri ila tuanze mdogo mdogo maana miradi mikubwa still inataka hela ndefu..Kwakutoa views zangu na ningependa serikali ione hili
Nchi yetu igawanywe kwa zone 7
Nothern Zone- Mwanza
Southern zone- Mtwara
Eastern zone-Dar/Pwani
Central zone Dodoma
South west-Mbeya
Northeast-Arusha
North west-Kigoma
Hizi zones zote ziwe na Sports Complex/Villages zitazokuwa na
Indoor Stadiums..Za Michezo ya basketball,Netball ,Volley ball na Music Shows
Football Stadium za atleast 20k seats
Na michezo mingine na academy ziatazo integrate michezo ya zones hizo na kuratibu kutafuta na kukuza vipaji..wa zones ..na kukuza michezo kwenye zone hizo
Pia tufufue THT ..na ku improve vipaji vya music na movie production
Vyuo vya UD na UDOM vi improve ufundishaji wa TV and Film making and Acting kwa kutafuta mikataba na ma kampuni makubwa ya nje ushirikiano wa walimu na scholarship etc
Jamaa ni wa chini hawajawahi kua topView attachment 1479641
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hii ni ushamba....what is so special about the school???Mkoa huu kwenye kuthamini shule na elimu hauna mpinzan East Africa nzima
yote ni kheri kwetu hasa wakitwanganaBwawa la kufua umeme la Ethiopia na Mto Nile inaweza kuleta vita kati ya hizi nchi mbili za Ethiopia na Egypt. Egypt ni kama wamejimilikisha Mto Nile
View attachment 1478820
Tweet ya billionaire wa Misri
View attachment 1478821
other tweets
hii kitu mbaya sana, imagine umejenga bwawa lako kwa matrilioni ya hela afu majamaa hawataki ujaze hilo bwawa
Mkenya akioba green anachanganyikiwa..Nusu ya Kenya ni Jangwa...narudia ni Desert .wanaiona green hiyo lakin
Kwa Kenya hij ni historia...
Kazi iendelee aiseh ..tourism ni muhimu sana kwa FX na Ajira nchini
Hii ingekaa sawa sana...serkali yetu ni sikivu.Maono yako yatasikika.Kwakutoa views zangu na ningependa serikali ione hili
Nchi yetu igawanywe kwa zone 7
Nothern Zone- Mwanza
Southern zone- Mtwara
Eastern zone-Dar/Pwani
Central zone Dodoma
South west-Mbeya
Northeast-Arusha
North west-Kigoma
Hizi zones zote ziwe na Sports Complex/Villages zitazokuwa na
Indoor Stadiums..Za Michezo ya basketball,Netball ,Volley ball na Music Shows
Football Stadium za atleast 20k seats
Na michezo mingine na academy ziatazo integrate michezo ya zones hizo na kuratibu kutafuta na kukuza vipaji..wa zones ..na kukuza michezo kwenye zone hizo
Pia tufufue THT ..na ku improve vipaji vya music na movie production
Vyuo vya UD na UDOM vi improve ufundishaji wa TV and Film making and Acting kwa kutafuta mikataba na ma kampuni makubwa ya nje ushirikiano wa walimu na scholarship etc
Tazamen side walks Hadi bukoba vijijin huko ndani muleba. 1500 km kutoka darView attachment 1479915View attachment 1479916View attachment 1479917View attachment 1479918
Safi SanaInakua 4lanes kuanzia bamaga hadi shekilango
Wakuu mwenye kulifahamu hili naomba anisaidie hii ni project ipi:
View attachment 1480552
wamefel hapooneni huu uongo