Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Water tank kama hizo huku Tz yamejengwa na mafundi wazawa na yako imara tu,

Failed state utasikia mara ghorofa limeanguka, mara daraja, mara water tank,

Fundi kutoka Tanzania ambaye hajasoma anamzidi mbali sana fundi wa kenya aliyesomea.
ni kweli chief mi huwaga nawadharau sana wakenya yaani wakenya ni zaidi ya kuwadharau tuendelee kuwa enjoy tu
 
😛 Hayo maneno yangekua ngumi basi hizo zimetua shingoni
 
Huu uzi haujapingwa na mtu yoyote wa ufipa .... [emoji3][emoji3] Bora mods waufunge tu
 
Dar ni aibu, left, right, centre![emoji23][emoji23] here it's just mere rotating around common places., the bigger percentage tuinaijua saana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] a pure definition ya LDC.,
dar huiwezi budaa yani go east or west hili nakwambia kabisa ulijue na ulitambue [emoji23][emoji23]
 
Sasa ona ulivyo ignorant[emoji23][emoji23][emoji23] wewe nikuvuka border kuenda mashambani kuwaona jamii yako tu, ama wewe ni hawker pale kwa border points?., nilijua haujui Mombasa, wewe ni google diehard tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Stick with your Dar, it gives you solace from your reality[emoji23][emoji23][emoji23]
kwan mombasa ina jipya zaidi ya dongo kundu na mama ngina [emoji23][emoji23][emoji23] mm mombasa ndio hunidanganyi kabisa budaa
 
Poverty mindset entertaining[emoji23][emoji23][emoji23] umenyamba point kaka[emoji23][emoji23]Kenya hizo hazipo kabisaaa, kwetu bado saana[emoji23][emoji23],
More pictures tafadhali niendelee kushangaa[emoji23][emoji23]

Hizi shule zilizopo Bukoba Kenya nzima hawawezi kuwa nazo
 
Poverty mindset entertaining[emoji23][emoji23][emoji23] umenyamba point kaka[emoji23][emoji23]Kenya hizo hazipo kabisaaa, kwetu bado saana[emoji23][emoji23],
More pictures tafadhali niendelee kushangaa[emoji23][emoji23]
Siyo utani bado sana....i was laugh yesterday after one of kunya leader fly with chopper to the mad school...that is not the interesting part ,he actual join them to build another mad class[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huu ndo ukweli, ila sisi tumenyuti hatuna haja ya kufatilia sana ishu za kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…