Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehe kuna tension hapa kinoma yanj
 
sana.. ile hela ya kujenga bwawa ni kubwa sana ase afu eti unapangiwa kulijaza
Hawa wamisri wajinga Sana, Kama wanaona maji hayatoshi si wayazuie tu yasiingie baharini.
Walishawahi kusema eti hata sisi tusipeleke maji shinyanga na tabora.
Hivi mwanza wana taarifa ziwa limejaa kupita kawaida tunatamani maji yapungue huku😉
 
Hawa wamisri wajinga Sana, Kama wanaona maji hayatoshi si wayazuie tu yasiingie baharini.
Walishawahi kusema eti hata sisi tusipeleke maji shinyanga na tabora.
Hivi mwanza wana taarifa ziwa limejaa kupita kawaida tunatamani maji yapungue huku[emoji6]

kuna mvutano huko.. nimesoma tweets, wanasema ethiopia wanachangia uwepo wa mto nile kwa zaid ya 90% kwa kutoa maji kutoka miinuko (hills) iliyopo huko kwao, sasa nikajiuliza wanashindwa nn kublock hizo channels (ethiopia) wakiwa hukohuko nchini kwao
 
Mkuu hili chimbo lako nililiona sehemu mwanzoni mwa mwaka huu, niliuchuna sababu tender details hazifunguki mpaka uwe member na nafikiri kuna amount ya kulipa monthly ndio nikaingia mitini.

yeah mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…