Masoko dyo nini sasa,huwa twafanya shopping huko kwa malls, hahahaNyie mumekwisha..Nchi ishapoteza muelekeo yaan mnaomba mkopo kulipa madeni.
Hapa ukiwaambia wakenya watume masoko yao ya kisasa kama haya yanayojengwa TZ watabaki kutuma shopping mall[emoji1787][emoji1787]...ukiwauliza je mlala hoi ataenda nunua nyanya shopping mall..[emoji1787][emoji1787]
Mkuu huyo fala achana naye, kwanza hajiamini na ndiyo maana anadharau mpk wasomi wa Tz, wkt Jpm anawaamini na wanaonesha kuweza, huyo hajiamini na sidhani kama anaweza kuongoza japo familia.Lengo ni kukurekebisha ile kauli yako kwamba Serikali haiwezi kufanya biashara. Hili la sasa ni " Negotiable ", wewe unavyofikiria sio kila mmoja inaona hivyo, kwahiyo ni haki yako kufikiria unavyofikiria, na pia wale wenyekufikiria tofauti na wewe pia ni haki yao, tusibiri tuone ni upande UPI utakua sahihi.
Wao ndio wanaweka sasa izo tarabu...utafikiri watu wamipasho....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1476738
Tunatembea kwa nafasi town , Hamna vumbi [emoji1]
hii bmw series gan??
Verandas za maduka hahakwan anapost nini ndinda hvi ww mbona akili zako ni fupi kama nyeti ya kuku😂😂😂
yap nishazijua 👏👏F20 116i Sport.
shulikeni na ujinga huu kwanza😂😂Masoko dyo nini sasa,huwa twafanya shopping huko kwa malls, hahaha
Wandio wanaweka sasa izo tarabu...utafikiri watu wamipasho....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii cbd ni kidogo sana kwa y Nairobi, tens naona uswazi humo ndani,hehe
Haijapotea iko tu na wakenyashulikeni na ujinga huu kwanza😂😂
Tuoneshe lori linaloingia CBD darHakuna matatu ama lorry huingia Nairobi cbd kama huko dar
Next time nkitembea huko takuonyeshaTuoneshe lori linaloingia CBD dar
Ingekuwa co huyu street Hawker apo mbele wangesema ni render [emoji3][emoji3]View attachment 1476738
Tunatembea kwa nafasi town , Hamna vumbi [emoji1]
Ww endeleni na ushamba wa kushangilia side walk.....bure kabisa...mnakuja kuonyesh vitu tusha zoea....poor miiiidooooincoooomuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii cbd ni kidogo sana kwa y Nairobi, tens naona uswazi humo ndani,hehe
Hii cbd ni kidogo sana kwa y Nairobi, tens naona uswazi humo ndani,hehe