Unapiga kelel y kuwa n dealership akili unayo kwel ww?Kubali yaishe dar hakuna dealership ya Porsche Nairobi kunayo....sijui mbona unashinda ukitapatapa ukipost sportcars za mitumba na ziko kila shithole Hadi Burundi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mchina kawaingiza mkenge kama SGR tu😂😂😂 loan over loanhii Lamu Port project nan alitoa hela??
kwann zingine hazina plate number tutaamini vp kama zenu😂😂😂😂
Kwisha kazjnusu ya budget inaenda kulipa madeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alaf bado deni linapanda kuelekea 7trillion ksh (debt to GDP ratio is almost 70%) alaf wako hapa kukenua meno [emoji2][emoji2]
kenyatta kaua nchi kipindi chake alone deni limepanda by over 340%
Mbona wakiombwa za miradi hawatoi
Ka googleNothing really,just used ex Dubai cars,no NEW SUPERCAR dealerships in dar though,if any post it!View attachment 1475384View attachment 1475385
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]anapost mpaka magari ya transit [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I knew it, hawez shinda kwny hii vita ya gari kali, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji122][emoji122]
Umemnyoosha[emoji3][emoji3]
😂 😂 😂 😂 😂Umemnyoosha[emoji3][emoji3]
Kwanza tunawacharaza kwenye uhalisia zen ndo tumalizie na hayo ya kwenye makaratasi, cz ukiangalia karatasi na uhalisia ni vitu viwili tofauti.Hope mtatoka bottom 10 kwa hii list ya poverty[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116]
The Poorest Countries in the World (2019-2023)
Kwnn unapenda sana renders mzeeThe mighty and only one in East Africa(Nairobi expressway)
Nyie kwny uchawi mbona baba lao [emoji3][emoji3]Alie roga hii familia ako na huruma, wengine ufunga mtu, hanyi wala hakojoi hadi arudishe mali alio iba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Nasikia na kuona kwa TV sijui kama haya ni ya kweli ama ni show tu!., Kenya kuna mganga nilikua nimemuskia alikua analisha wezi nyasi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mimi siya amini mpaka nione na macho[emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Kwnn unapenda sana renders mzee
Kwamba huoni mambo mapya yanayofanyika kwenye uongozi huu, ww ni wa kuachwa tu wala sio wa kujibiwa cz nahisi una jealous za kichawimpumbavu ni wewe hapo ambae umeshikiliwa na akili za mapambio ili kulisha tumbo lako..nimekwambia uzoefu wa state corporations hasa kwenye sekta kama ya viwanda zitafeli kama ambavyo zilikufa hapo awali,ulivyokuwepo poyoyo hakuna kitu ambacho kinafanywa sasa na hakijawahi fanywa na serikali hapo awali.
Afu sitafuti kuwa mjanja kwako au kwa yeyote nachangia maoni yangu bila kushikiliwa na nyie mnaoishi kwa kazi za propaganda na mapambio..Unadhani hiyo mifuko inafanya biashara za kuchakata bidhaa za ngozi au juice? acha undezi wewe mpiga vuvuzela
Uharo gn huu unaouleta humu? Ushaishiwa nn, kenya hamuwezani na Tz kwenye sekta ya gari kali, never ever, ila leo wamekunyoosha[emoji3][emoji3]
Bendera ya Tanzania kwenye hiyo picha ndiyo lengoPhiladelphia hapo [emoji631]