Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

LOL unachekesha wewe umeenda kamanga unasema Busisi

Nenda high peak hours kama hujakaa masaa matatu mpaka manne na idadi ya watu na magari inazidi kuongezeka kwa kasi

Hapa na penyewe umeonesha namna akili yako ilivyo finyu sababu unawaza kwa urefu wa pua yako tu.

Hilo daraja litahudumia ongezeko lolote la watu na magari linalokua kwa kasi ukanda huo kitu ambacho vivuko havitakaa vimudu
 
Kama una wivu sana inabidi upunguze kwa kweli Kwa hiyo wewe ulitaka tanzania isiwe na ndege kabisa wala hata train so hivyo vitu vilivyojengwa hazina msaada wa maendeleo wa kiuchumi
 
Kama rais hana roho ngumu hawezi kuongoza nchi maana wajuaji ni wengi hata kwenye mambo yenye tija na yasiyokuwa na tija. Cha msingi rais awe na focus ya kuleta maendeleo lakini akianza kumsikiliza huyu anasema nini na huyu anasema nini atayumba sana.
 
It is ironic that you b
It is ironic that you brag of used ex Dubai Porsche when NAIROBI host SUPERCAR DEALERSHIPS
 
hujielewi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…