Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Tena mitaa ya park jimbo la yule msani waoo..View attachment 1473614msiisahau na barabara hii hapa,iko nyuma tu ya kacbd kenu![]()




Tena mitaa ya park jimbo la yule msani waoo..View attachment 1473614msiisahau na barabara hii hapa,iko nyuma tu ya kacbd kenu![]()




Na hata wakisaidiwa hawawezi,,Tuliwapigia debe yule Mama Amina hata Ale shavu la AU,wakashindwa.Sasa kuna hyo wanapigania hapo UNSC,hiyo ndo inamfanya Mkenya anakuchekea....Nyanja za Kimataifa .....Bado sana...Hakuna Serkali wala Siasa Imara.miaka yote mkenya huwa hana uwezo wa ushawishi ndiyo maana kupata nyazifa za juu za kimataifa huwa wanazinusa nusa tu....
at end👇👇👇😂😂😂
siku atapata sign board mm nafunga acc jamii forum home work iko pale pale😂😂😂Mbona unaumiza Ichoboy?
View attachment 1473614msiisahau na barabara hii hapa,iko nyuma tu ya kacbd kenu![]()
Wanayo mengi tu,sema wakianza kujisifia sasa utadhani wako kwenye good time flan kumbe hamna loloteHuwa nadhani hawana maeneo kama haya yenye vibanda.
Viongozi wao walikua busy kuny'anganya wananchi mashamba....wengine wakitengeneza mitandao ya kikabila kuongoza Nchi,ie KIAMBUU mafia....wakawa busy kupenyeza sabotage kwenye tawala za kijamaa Enzi izo Ethiopia na Sisi TZ.... ...angalia mpaka leo Serkali yao ni Changamoto...sasa hiv wako na BBI..yote hayo bi kutafuta umoja wa kitaifa ....Baaaado saana ndugu zetu.yaan watasubiri sana hata ukichukua speech za kimataifa zilizotolewa na viongozi wa Tanzania nnje ya nchi tokea enzi za baba wa taifa tupo very strong..tafuta speech zozote za maraisi wao manyang'au wakikenya kisha wafanye compare na attension ya watu jinsi ilivyomakini kumsikiliza Baba wa taifa
Waka mulize jaguar atawaonyesha kunya nitakatak ...kelel tu ndio nyingi....Huwa nadhani hawana maeneo kama haya yenye vibanda.




Sikorsky S92 at the Port of Dar.
View attachment 1473935
View attachment 1473936
View attachment 1473937
View attachment 1473938
ichoboy01 hivi umeona hiiHii mmeona
Tanzania is the most urbanised country in East Africa, according to data compiled by researchers at Yale and Columbia universities.
In 2017, the World Bank ranked Tanzanian capital Dar es Salaam’s real estate ahead of Nairobi and Addis Ababa in its cities report.
The World Bank put economic value of Dar’s real estate at $12 billion ahead of Nairobi’s $9 billion. Ethiopian capital Addis Ababa came in third at $6 billion.
