Wazee wa express highway , brt with lipstick , sgr with chang'aa machine . Yaani wanasiasa wa kenya wanatumia terminologies kuwa brainwash halafu mnakubali kirahisi . Wazee wa Chinese 1st class. Nadhaa hii ni side effect ya kula githeri kwa wingi
Mbona husomi vizur ..hio ni data ya 2017/2018 ..imeonesha 9752km of road ..on average Tz adds 500km of roads annually so figure it out 13kWapi 13k hapo? Shuke mlienda kufanya nini lakini?
Naihifadhi hii, ntajakukumbusha
Utajua siku ukimkuta Mchina pale akiwa anaongoza...na Mkenya alivyo mnyonge kwa colonizers...ni Bakora tuuu...km ambavyo uwafanya.
Show me anywhere that you add 500km of roads annually. Secondly where is it written that the screenshot you posted is 2017/2018?Mbona husomi vizur ..hio ni data ya 2017/2018 ..imeonesha 9752km of road ..on average Tz adds 500km of roads annually so figure it out 13k
Infrastructure ipi unazungumzia....???sewage ama? Unaeza kueendesha kutoka katikati ya nchi mpaka Turkana kwa lami,?
Tabia zako km amnazo...una argue km mtot..ww subir wenzako walibe km kawaida yenu na kwenda kutamb nalo nairaland ....[emoji123][emoji123]
Hakuna Mchina ndani ya Jamuhuri ya Muungano anaeza vunja sheria akaachwa...wale walevi waliotumia sime si uliskia..?Mchina akiwa hapa ni adabu...hakuna cha mdosi wala nini.Nyie mlipigwa karate kwenyu mka kimya[emoji23][emoji23][emoji23] mchina Kenya alifanywa nini baada ya hilo?
Kuhusu addition inabid ufwatilie budget ya Tz kujua nikipata muda ntakutumia ..ila ndo hvyo we might even be getting to 15k this year cause of construction contracts signed last year to improve western circuitShow me anywhere that you add 500km of roads annually. Secondly where is it written that the screenshot you posted is 2017/2018?
Mdogo mdogo tunarudisha heshima yetuuu[emoji123][emoji123][emoji123]View attachment 1472353
Still twice less than what Kenya has.Kuhusu addition inabid ufwatilie budget ya Tz kujua nikipata muda ntakutumia ..ila ndo hvyo we might even be getting to 15k this year cause of construction contracts signed last year to improve western circuit View attachment 1472512
Yeah still some catch up to do...we are focused on various projects tho..tungekuwa hatuinvest sana Air Tz tungekuwa na cash flow kubwa kuweka hio sectorStill twice less than what Kenya has.
Hakuna Mchina ndani ya Jamuhuri ya Muungano anaeza vunja sheria akaachwa...wale walevi waliotumia sime si uliskia..?Mchina akiwa hapa ni adabu...hakuna cha mdosi wala nini.
Ww ni mtu wa kuumbuka kila siku humu kwasabu hufanyi research, umekalia roho mby na denial style, ss mm wala cna haja ya kukuthibitishia kwamba tuko mbali kiasi gani kwenye km za paved roads, tusubiri report mpya ila usikimbie km ulivyokimbia bomba la mafuta la hoima [emoji3][emoji3]Remember Kenya has 20,000km of tarmaced roads compared to Tanzania`s 6000km. Turkana has high quality roads than Dar.
[emoji1][emoji1][emoji1] umeonaaKenya inakaribia morroco kwa GDP lakini sasa on the ground vitu ni mbingu na ardhi...kweli gdp ni mavi ya mbuzi
hii ndiyo tofauti kubwa kubwa ya AKILI KUBWA-TANZANIA na akili za kushikizwa na za kujipendekeza za kunyaland aka failed or dead stateKatibu mkuu was UN anazidi kuwaamini wa TZ
Ata sisi tunawengi wako na vyeo kubwa kwa hizo international bodiesKatibu mkuu was UN anazidi kuwaamini wa TZ
Haya na wewe leta uthibitisho kama mko na hizo 20k za paved roads. Sio maneno matupu tu.Still twice less than what Kenya has.