Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Feelings zake nazifananisha na ule msemo wa kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji [emoji23]
 
Wewe jitete, lakini mujifunze kulipa madeni[emoji23][emoji23][emoji23], wacheni kuleta aibu., nyie kua mwenye kiti sadc sio big deal, pia Rwanda kupitia Mh. Kagame amekua mwenye kiti EAC., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kalilie mbali kaka, Tanzania iko uchi tunaijua vizuri, viproject vikubwa but no substantial market to justify the labour.
WHΔ°TE ELEPHANTS LOADING.....
 
Hataki tuu kukubali kwamba...we must lead...and we are there...
 
Sasa kwa ulichokiandika Unadhani kuwa ndio umeargue kwa level ya mtu elite kweli?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwasababu yeye Ndio kakijibu kisomi Halafu wewe unakuja na insults na kumuuliza swali la kipuuzi badala ya kujibu alichokiandika. Huna sera njoroge. Kunyaland is BROKE!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nina furaha tele, nyie ni level ya punda[emoji23][emoji23][emoji23] hamuwezi kua Tembo wala farasi, maji gani mnakunywa?., lipa madeni wenyewe kisha we can talk on the same table[emoji23][emoji23][emoji23]
Feelings zake nazifananisha na ule msemo wa kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji [emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa mwenye public debt kubwa kati yenu na sisi ni yupi? Yaani vitu unavyosema vinatakiwa kulenga hiyo nchi yenu. White elephants unasema kwetu β€œzinaload” Halafu kwenu tayari zina β€œplay” Acha ushabiki wa kipuuzi. Kama huna cha kusema ni heri ukae kimya na uendelee ku-like picha za hao nyumbu wenzako.
 
There[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli ni uchungu kuona Kenya iko juu yenyu[emoji23][emoji23][emoji23], keep to your lane, and accelerate good mtafika, Ethiopia kept in their lane wakafika bila kufikiria Kenya[emoji123]
Hataki tuu kukubali kwamba...we must lead...and we are there...
 
Tunalipa na nyie je?., am hoping EAC hamtotuleta aibu ya ndege kushikwa na mkulima ama Canada., na pia raisi wenyu ataacha kupigia mzungu magoti eti asamehewe madeni.,
Mwanaume ni kuchukua loan na kulipa, tena chukua nyingine fanya unalotaka na kisha ulipe., haijalishi kiwango cha loan, la muhimu ni ulipe deni. Respect.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nina furaha tele, nyie ni level ya punda[emoji23][emoji23][emoji23] hamuwezi kua Tembo wala farasi, maji gani mnakunywa?., lipa madeni wenyewe kisha we can talk on the same table[emoji23][emoji23][emoji23]
KELELE ZA CHURA HAZIMNYIMI TEMBO KUNYWA MAJI.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ati mnalipa? Dunia simama nishuke. Rate mnayotumia kuborrow sio ile mnayotumia kulipa. Magufuli anasupport debt relief kwa nchi zilizoshindwa kulipa madeni na ni kitu kizuri sana. Katika mambo ya uchumi, EGO ni ushenzi tu na Kenya haina pesa za kulipa madeni yake yote.
 
Mwanaume ni kutumia pesa yake mwenyewe kwa miradi mikubwa kama ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa kubwa la UMEME, SGR na madaraja. Tabia ya kupenda kuomba kila mradi ni tabia ya mashoga.
 
umeelewa sasa kati ya developed countries na developing countriesπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wenzenu hawazungumzii maji na umeme na njaa unajifananisha na nchi hzo hzo ndio zinawadai nyinyi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚jubilee tano tena

 
vitu vyote unavovitaja hamuna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio maana uchungu umekukamata πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰ ohh sisi GDP kubwa mavi ya kuku


 
wanalipa nn wakat deni linazidi kwenda juuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡ over 60% ya budget inalipa madeni hewa

 
munalipa au munaongeza madeni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡


 
hope umenielewa sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bakia kusema kwann US na japan wanamadeni wakat hzo hzo nchi zinawadai pesa kibaoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡ na zinawapa msaada wa chakula kila mwaka

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…