Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unajipa kwenye matumaini auπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hio CCM ndio inawatoa raha miaka 5 tu sijui mitano mingine itakuaje sasa unakataa kama nyinyi sio giant of slums ama??? hahaha jubilee tano tena imeuza nchi
 
kwanza ajifunze kutafautisha developed contries and developing countries ndio ataelewa zaidiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hahah economics unaijua wewe kwanza unajua kutafautisha developed countries and developing countries πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilifkiri uanzie hapo kwanza US na japana hawaongelei shida za maji na umeme na huwez kusikia hata siku moja πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ˜€πŸ˜€ hawana matatizo nyinyi leo hii over 60% of ur bugdet inakwenda kulipa madeni alaf unazungumzia uchumi
 

huko mmeenda mbali.. waliulizeni nchi inadaiwa na kenya?? usa & japan wanaweza kuwa na madeni ila kuna watu wanawadai.. kenya sijui inamdai nan?
 
tulia sindano zikae vzr πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’‰πŸ’‰ ndio hao hao CCM waliwanyanganya tonge mdomoni umesahauπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
huko mmeenda mbali.. waliulizeni nchi inadaiwa na kenya?? usa & japan wanaweza kuwa na madeni ila kuna watu wanawadai.. kenya sijui inamdai nan?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani hawa watu ni wakuhurumia bro wanamatope kichwani mtu yupo dunia karibia na jua leo anajifananisha na japan πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani hawa watu ni wakuhurumia bro wanamatope kichwani mtu yupo dunia karibia na jua leo anajifananisha na japan [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3] jua linampiga at 90 degrees
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyie ata kulipa madeni ya walimu walio staafu ni balaa., ni promises tu ya ku clear arrears, propaganda is demolished by facts on the ground. Numbers don't lie., EAC mtaambulia patupu, SADC hamuwezi lolote.., mko ovyo kishenzi. Leta picha ya Dar nione three level interchange na BRT, those are your solace so far. Poverty is mental [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na wameshindwa kujenga, miaka mingapi sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], poverty mind[emoji23][emoji23][emoji23], mnangoja usaidizi kutoka nje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I knew on delivering nyie wanyonge., 2020 ndio hii inapita bado mko below! Thought many of you projected 2020 mutakua mumefunga mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 3level interchange, SGR, bridges, vigorofa na BRT zinawapumbaza deadly[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] masikini wanahurumisha kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwaga povu yote leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hatujawai samehewa madeni nyie wanyonge in Africa, sauti ndio kubwa tu, empty debes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tulia sindano zikae vzr [emoji23][emoji23][emoji382][emoji382] ndio hao hao CCM waliwanyanganya tonge mdomoni umesahau[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

 
Kila kitu ulichoandika ni UPUUZI. Feelings zako hazimaanishi kuwa unachosema ni kweli. Nchi yetu ni mwenyekiti wa SADC na kuna fursa nyingi tu ambazo tunazipata kutokana na nafasi yetu kama kusambaza dawa zetu za bohari ya dawa ya taifa ( MSD) pia kusema kuwa EAC tutaambilia patupu, ni Nani anayeongoza kwa project za kimkakati? Sisi Ndio tuliwaibia dili la pipeline kutoka UG, Rwanda kachagua Central corridor kuunganisha SGR yake na bado sisi Ndio tunaongoza kwa project zenye thamani kubwa ya ujenzi EAC. Lia kama unataka ila hakuna utakachosema kitakachobadilisha ukweli kuwa Tanzania is already eclipsing your shitty nation.
 
Do you know how much U.S. owes China?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wewe ni kilaza kweli, just go back to your profession here ya pictures na ushabiki, endelea kuleta vipicha vya electric SGR, vigorofa, 3 level interchange, salenda bridge, kibaha highway, "dream houses etc., niletee latest pictures nishangae[emoji23][emoji23][emoji23]. Hapa ndio level yako ya argument[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],

Tanzania! Tanzania! Tanzania!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…