Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hawa wapuuzi tuwafungie mipaka.. walielie njaa kwa kwanza kama wiki tatu hiv ndo tuwafungulie.. yan washike adabu kwanza
Tayari wafanyibiashara wenu wanalia ya kwamba hawaruhusiwi kuuza vitu kenya
 
Mtapimwa tu
 
I have been saying here that Tanzanian army is nothing
Budget kubwa ya nn kwa nchi tulivu km hii, hatuna vita vya wenyewe kwa wenyewe, tunapendana, tunaamini cc ni wamoja, zen mpuuzi atoke anapotoka aje kutushauri eti tuwekeze pesa nyingi kwenye jeshi ili tugundue nn kwa mfano, au tuwekeze pesa nyng ili tuje kusaidia wenzetu wanaouana kila siku ili iweje, mijitu ynyw haina shukran unaisaidia na bado haitaki kuku respect, yn hamjatushawishi bado na mctegemee kuikuta Tz kwny list km hyo, pesa inaingia kwenye miradi ya msingi kuhusu jeshi we chokoza uone [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wengine hawa wanapeana vitasa wenyewe kwa wenyewe.
Mpokee commercial plane ya watalii tena msimu huu wa corona halafu wale wazee wa ndio mjengoni wasiliongelee na kunengua viuno[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…