The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Ndiyo maana nikwambia ww huwa unavamia vamia tu wala husomi comments kwa weledi, mm nilimwambia yule kilaza mwenzio kwmb speed pia inategemea na cm kuna cm zina support 2G, 3G na 4G haziwezi ku respond sawa.Nikuuluze jomba, ukichukua simu janja inayo support 4G halafu uende sehemu ambayo mitambo yao hawaja install 4G network..bado unamaanisha uta browse kw kasi ya 4G
Ss hapa ndipo ulipojijibu ss[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nikuuluze jomba, ukichukua simu janja inayo support 4G halafu uende sehemu ambayo mitambo yao hawaja install 4G network..bado unamaanisha uta browse kw kasi ya 4G
Bwahaha!!dogo utachekwa[emoji23][emoji23][emoji23]lugha ya biashara hyoHunitoi kwny reli ng'o [emoji116][emoji116]View attachment 1468077
Hapa hta ukajitia uwehu huwezani, wewe umesema processing na internet browsing inategemea na "fastness" ya ku browse ya simu[emoji23][emoji23]Ss hapa ndipo ulipojijibu ss[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
So it doesn't exist in the real world c ndio?Bwahaha!!dogo utachekwa[emoji23][emoji23][emoji23]lugha ya biashara hyo
Internet speed inategemea na simu..mama yangu[emoji23][emoji23]Ndiyo maana nikwambia ww huwa unavamia vamia tu wala husomi comments kwa weledi, mm nilimwambia yule kilaza mwenzio kwmb speed pia inategemea na cm kuna cm zina support 2G, 3G na 4G haziwezi ku respond sawa.
Narudia tena, responding ya cm ktk speed ya internet inategemea na fast browsing speed na processing power ya cm.Hapa hta ukajitia uwehu huwezani, wewe umesema processing na internet browsing inategemea na "fastness" ya ku browse ya simu[emoji23][emoji23]
Sasa nani hapo kauma nje
Mbn unataka kunitoa nje ya reli yn una apply uchizi wako kwa gharama zng, internet speed ni constant which means km kampuni ime install 3G itakuwa hvyo hvyo 3G na c vngnevyo icpokuwa kinachofuta hapo ni response ya cm ktk matumizi ya hyo internet na c vngnevyo.Internet speed inategemea na simu..mama yangu[emoji23][emoji23]
Na tena itazidi kuwepo katika akili za watu wasioelewa hayo mamboSo it doesn't exist in the real world c ndio?
Byda pia unajua browsing ni process...Narudia tena, responding ya cm ktk speed ya internet inategemea na fast browsing speed na processing power ya cm.
Hilo ndio tatizo lenu ujuaji tu haya elezea ww hapo walichokosea hapo niniNa tena itazidi kuwepo katika akili za watu wasioelewa hayo mambo
Kitu gnByda pia unajua browsing ni process...
Nadhani km unauelewa wa hayo mambo hutokosa kujua kitu ambacho kinachangia processing power
Ckia narudia response ya cm ktk matumizi ya internet inategemea na browsing speed na processing power ya cm usichoelewa hapo nn??Byda pia unajua browsing ni process...
Nadhani km unauelewa wa hayo mambo hutokosa kujua kitu ambacho kinachangia processing power
Nasikia wakenya chapo ni chakula cha heshima kubwaSasa mkuu si umepewa video ya 2020, mbna unataka kuanza kuwa km wenzako na wewe
Even Kenyans and Naija do not agree with it let's wait and see [emoji3][emoji3]Sio mimi nimesema[emoji23][emoji23][emoji23]
1600MW it was capacity of 2017 and now is over 1900MWI don`t deal with Magufulis sycophants, neutral articles states 32% with installed capacity of 1600MV.