Bwhahaaa!!wivu mbaya jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujamaa umekufunga akili walai, umesahau km wakenya wanamiliki makampuni bongo
The same thinking. Nadhani huko mbeleni hilo halitokwepeka kama tunataka kweli kuboresha majiji na miji yetu.Ni kweli mkuu ila hawa jamaa sijaona wakiweka nguvu kubadilisha maeneo ya uswahilini..na kuyaongezea thamani,Project kama ile ya Magomeni..zingegusa kwenye maeneo mengi kwenye miji yetu mikubwa ikiwemo Dar es Salaam especially kwenye maeneo yaliyokaribu na katikati ya mji mfano,Buguruni kwa Mnyamani,Tandale....pia kuna bodi ya mfuko wa fidia ya ardhi huu nao upewe nguvu kimkakati kwa maono ya mbele,kuibadili miji yetu na kwa matumizi bora ya ardhi.Nimewaza kwa sauti tu.
Sasa na kwa hiyo picha ya dar kuna buildings chache za floor tano na dwarf tatu za 35 floors pekee ndio unataka kutuaminishajesiku ukitoka hapa tag me[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 1465502
Wewe endelea na kulia tuSasa fikiria hiki nikisehem tu cha pale....bado unaleta nyenye zako apa tuliza kende[emoji382][emoji382]View attachment 1465350
Naona wachina wamejenga estate yao na ya kipekee dar slum ndio wa wapige viboko vizuri
narudia kukwambia siku utatoka kwenye hii pic nitag mm 😂😂😂 ushuzi wa mendeSasa na kwa hiyo picha ya dar kuna buildings chache za floor tano na dwarf tatu za 35 floors pekee ndio unataka kutuaminishajeView attachment 1465543
Mombasa ina buildings zaidi ya mara tatu ya darnarudia kukwambia siku utatoka kwenye hii pic nitag mm [emoji23][emoji23][emoji23] ushuzi wa mende
View attachment 1465558
😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇Mombasa ina buildings zaidi ya mara tatu ya darView attachment 1465560View attachment 1465562
narudia kukwambia siku utatoka kwenye hii pic nitag mm 😂😂😂 ushuzi wa mende
View attachment 1465558
Hivi kwa nini road za kenya huwa ni brown in colour,yaani zimepauka!???? Why..!!
Naona rangi ya udongo mfinyazi kabisaa dar es salaam uwez kuta hali ioo aisee. Inasikitisha sana
io kauli imekutoka kii shabiki sana huwez linganisha dar na mombasa brazaMombasa ina buildings zaidi ya mara tatu ya darView attachment 1465560View attachment 1465562
Hivi vijiji mnaitanga city ndio mtakoma kabisaio kauli imekutoka kii shabiki sana huwez linganisha dar na mombasa braza
Pia hii iko na rangi kama hiyo tu
Ungeongezea na mji wenye BRT lanes kwenye flyover hapo labda wataelewa.Ngoja niandike kwa herufi kubwa pengine mtanielewa [emoji116][emoji116]
MJI WOWOTE DUNIANI USIOKUWA NA ELECTRIC RAILWAYS BASI HUO MJI UPO STONE AGE NA SI VINGINEVYO OVAA
Wait[emoji3][emoji3]Ungeongezea na mji wenye BRT lanes kwenye flyover hapo labda wataelewa.
We nawe hebu toa uchafu wako hapa, tumeuvumilia huu uchafu now utatutapishaTanzania kuna town yoyote inaezalinganishwa na Mombasa kweliView attachment 1465636
Angalia iyo picha y uko kunya cbd alfu changanya n iyo ushuzi wa mombasa=K/Koo km mna pumzi jibuni sio kuja n vichekesho vya kitotoMombasa ina buildings zaidi ya mara tatu ya darView attachment 1465560View attachment 1465562