The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Pale nilikuwa namdhihaki nicxie na ule mjengo wake, sema we unavamia tu, ss endelea km kibao hakijakugeukia [emoji3][emoji3][emoji3]Chanzo na wakati unashangazwa na hyo solar[emoji1787][emoji1787]
Mpka umefanya kuizungushia kaduara ndio tukuone na wewe umjuzi sana..ona sasa umeumbuka[emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3] naona umeamua kumfariji nicxie, ulikuwa unataka kumsitiri tng kpnd kile kaumbuka ila ulishindwa, I can see now unatafuta gepu au co, good try Aunt komo [emoji122][emoji122][emoji3][emoji3]Wacha mazee, nlipoona comment yako ilinibidi nirudi juu haraka haraka nione km ka pist pumba gani..
Yani nimecheka sana, huyo jamaa anaishi katika vile vijiji vya mwanza so hawezi elewa..
Sindano inauma 😂 😂[emoji3][emoji3][emoji3] aibu aloo
Kujitetea pia sio mbaya...[emoji3][emoji3][emoji3] naona umeamua kumfariji nicxie, ulikuwa unataka kumsitiri tng kpnd kile kaumbuka ila ulishindwa, I can see now unatafuta gepu au co, good try Aunt komo [emoji122][emoji122][emoji3][emoji3]
Hamna dhihaka km ile..ule ulikua ushamba tu[emoji1787][emoji1787]Pale nilikuwa namdhihaki nicxie na ule mjengo wake, sema we unavamia tu, ss endelea km kibao hakijakugeukia [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kila watu washughulikie ya kwao[emoji23][emoji23][emoji23]Africa.. kudadeki [emoji119]
Umeamua kuja kumtetea mwwnzako[emoji1787][emoji1787]akipatia kueleza ni nini kwenye paa nahama humu!
Ss useme kabisa hapo kenya sehemu gnYani hii ndo inafaa iwe standard kwa barabara zote Kenya
Ni nn kile kwenye paa la so claimed nyumba yako?Umeamua kuja kumtetea mwwnzako[emoji1787][emoji1787]
Hapa mada haiwezi pindishwa, mwenzio kaumbuka
Muulize mwenzako wa mwanza ana ufahamu mzuri sana na hvyo vituNi nn kile kwenye paa la so claimed nyumba yako?
UmepanicSs useme kabisa hapo kenya sehemu gn
Kando ya barabara pande za kule bongo unakutana na uswazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha nikusindikize na hizi
Umekaa mwezi mzima uka-google alafu ghafla umeibuka! Kweli wewe ni watchman!Muulize mwenzako wa mwanza ana ufahamu mzuri sana na hvyo vitu
Mwambie aagalie wasije wakamchanganya na ISIS maana kwa kiarabu Justice ni Haki pia!
Hahaha!!itabidi umetumia mbinu zote kumsaidia mwenzako..Umekaa mwezi mzima uka-google alafu ghafla umeibuka! Kweli wewe ni watchman!