Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huku Tanzania, jua linawaka balaa na maisha yanaendelea kama kawaida

Corona tumeipa masharti mawili
1. Iondoke nje ya mipaka yetu au
2. Kama imeamua kubaki, ikae kwa kutulia na heshima . Maisha lazima yaendelee [emoji23][emoji23]

Hahahahaha dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…