Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

18948187_1786546648302600_5601544863393775616_n.jpg
 
Expansion mtwara port going on
View attachment 522337
[quote uid=429850 name="IamLee" post=21559500]Haha kwetu pia kazi tu... $154 million? Lamu port - $ 3.1 BillionView attachment 522314 View attachment 522313<br />Na sio paperwork... Work is on-going[/QUOTE]Bagamoyo port 11 billion usd my friend hahaa.Do u think even bagamoyo is paper work lemy find for u pics
bagamoyosez_zps9cd0561d-png.522329

Expansion of zanzibar port under construction
View attachment 522339
hatari sana....tunazidi kumchanganya adui wallah....
 
But utakua unatajirisha m south Africa.. Enyewe south Africa imewaoa.kila kitu mnatoa huko hadi video mnashoot uko
Yap, ndio maana Video za Bongo Flava ni Level nyingine,
Nadhani hili la watz kukatizakatiza kwa madiba linachangiwa na mambo mengi likiwemo Visa free entry to SA for Tz nationals na Pia hawa vijana kipato kimeongezeka mifukoni Mwao.
Nauli, Hotel, locations, maids,.. Making a Video in SA is a costly thing, Many Kenyan Musicians won't afford.
 
nice. how many berths?

mtauliza sana maswali round hii....we are not in kikwete's era where you used to hear delay excuses when it comes to construction project....tupo katika zama za "hapa kazi tu" chini ya jemedari wetu JPM.kila kitu kinaenda kwa speed na viwango.
 
Yap, ndio maana Video za Bongo Flava ni Level nyingine,
Nadhani hili la watz kukatizakatiza kwa madiba linachangiwa na mambo mengi likiwemo Visa free entry to SA for Tz nationals na Pia hawa vijana kipato kimeongezeka mifukoni Mwao.
Nauli, Hotel, locations, maids,.. Making a Video in SA is a costly thing, Many Kenyan Musicians won't afford.
Kenyan musicians are proud of Kenya...why make south African producers rich???
 
Yap, ndio maana Video za Bongo Flava ni Level nyingine,
Nadhani hili la watz kukatizakatiza kwa madiba linachangiwa na mambo mengi likiwemo Visa free entry to SA for Tz nationals na Pia hawa vijana kipato kimeongezeka mifukoni Mwao.
Nauli, Hotel, locations, maids,.. Making a Video in SA is a costly thing, Many Kenyan Musicians won't afford.
maids wagani my fren?
 
comrade GO asante kwa comment yako.bila shaka kijana wa kikenya hapo juu atakuwa kakuelewa vizuri.
 
Hatutaki master plan tunataka picha za kazi imefanywa....kwani uko tz na hujui kuwa serkali ilitupilia mbali bagamoyo port
Aliekwambia ilitupilia mbali nani??? Haikutupiliwa mbali walikua wanasubiri waanze expansion of dar port huku bagamoyo iendelee na port zote za tanzania ziko under expansion my friend
 
Back
Top Bottom