Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Off topic kidogo.

As susual, we all know life is not only short (Very short indeed) but also challenging, and our almighty God gave us a chance during the days of our lives to explore life into deepest.

Hivyo basi,
Kwa kijana kama Game over, Kadoda 11 na wengine ambao tunatumia Akili na nguvu zetu kujipatia riziki zetu popote duniani mradi tuko na pumzi,

Wikiendi kama hizi hatuna budi kufariji mili yetu ambayo kwa namna moja ama nyingine huchomeka na jua na kutaabika kutafuta riziki,
Game over ni kijana aliye chini ya Miaka 30 lakini amejitahidi kuthubutu kujaribu mambo mengi katika maisha japo bado malengo kufikiwa,

Pamoja na stress zitokanazo na Wanasiasa wapuuzi na Taifa stars Nyakati kama hizi Game over hujifariji kwa kujipatia bia maridhawa inayopikwa na Watanzania kwa ngano inayolimwa katika ardhi pendwa ya Tanzania.

Namna hii,




Hebu na wewe niambie kile kinywaji pendwa unatumia
 
wakenya wakiona mtz unakunywa tanzanian local beer yenye brand name ya nje ya nchi,huwa wanapata wivu sana.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Better matatu nakaa solo na kuskiza mziki wangu mosmos
ha haaa ujue MZEE WA IPHONE7 we ni mshamba mziki kasikilize kwako.....ule ni usafiri wa jamii nakatika jamii kuna watu tofauti tofauti wengine wana presha hawatakiwi kuwekewa mikelele kama ya usafiri wenu apo TZ tulishaachaga huo upumbavu.....

mnaangaika kupimp hizo matatu zenu kwa kimuonekano zimekaa vibaya sana
 
wakenya wakiona mtz unakunywa tanzanian local beer yenye brand name ya nje ya nchi,huwa wanapata wivu sana.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Castle lager ni ya south Africa.....Tusker is 100% Kenyan.....
 
Hewa
 
huo wivu sasa.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tusker ni the most consumed beer in Kenya,Kenya Cane ni most popular spirit,Nakumatt is the most popular supermarket, Equity the most popular bank,KCB the biggest bank in assets,we buy and build Kenya
 
Tusker ni the most consumed beer in Kenya,Kenya Cane ni most popular spirit,Nakumatt is the most popular supermarket, Equity the most popular bank,KCB the biggest bank in assets,we buy and build Kenya
Povu hilo...umeulizwa?.[emoji23] [emoji23]
 
about yesterday evening: (kula bata kidogo).
me and my colleague went to kigamboni to make the most of our weekend.

i took these photos while we were crossing through the kigamboni bridge,the only femous longest cable-stayed bridge in east africa.

damn!...the view is breathtaking.








some kenyans wakiona picha kama hizi zinapostiwa na watz huwa wanapata wivu sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…