COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Better matatu nakaa solo na kuskiza mziki wangu mosmoshata nchi zote ....zenye mradi huu pia abilia husimama ......city bus ni tofauti na bus za masafa marefu ama mikoani.......population ya miji mikuu yenye mzunguko mkubwa wa kifedha hapa duniani asa kuanzia monday to friday ni siku za kuchakalika bus lazima zijae.......na ukitaka watu wasisimame.....basi agiza magari kila mtu amiliki lake kulingana na population...