Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao acacial ndiyo wezi Wa madini ya tz walikuwa wanaiba tz wanajenga Kenya?kweli magu kakomesha Kenya wezi wa tanzanite walikuwa wamejificha Kenya

Send by APOLO 1
What does this got to do with what I posted?
 
check video kuanzia @17:00 recreational park inaanza kuoneshwa

Hivi kuna umuhimu wa misanamu ya zege badala ya kupafanya pawe green zaidi? Ningekuwa nasimamia mradi huu fedha za kulipa sanamu za zege ningewekeza kwenye sprinkler system ya kumwagilia majani na kuweka sehemu za kukaa na fountains!
 
Leo sijaokota? 😂 😂 😂 😂
Kumbe picha nilizipiga mimi mwenyewe!?
[/QUOTE]
naomba upost picha zote ulizonazo plz 😂😂😂😂😂😂
 
Hivi kuna umuhimu wa misanamu ya zege badala ya kupafanya pawe green zaidi? Ningekuwa nasimamia mradi huu fedha za kulipa sanamu za zege ningewekeza kwenye sprinkler system ya kumwagilia majani na kuweka sehemu za kukaa na fountains!
Mkuu that's our culture, kuna vitu huwezi epuka, ni muhimu kuwe na kielelezo japo hizo system za kumwagilia ni muhimu kuwepo, na cdhani km zitakosekana sehemu classic km hyo.
 
umekasirika sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie sikasiriki hataa, I come here to enjoy myself., yani munafurahisha sana na your blind patriotism ya nchi yenyu "ndogo"., kama unaelewa maana ya "ndogo"., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], if you know you know, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],

Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
 
Tz ndogo?? Are you clazy?? Btw ndo inayokulisha hyo[emoji3][emoji3]
 
Mkuu that's our culture, kuna vitu huwezi epuka, ni muhimu kuwe na kielelezo japo hizo system za kumwagilia ni muhimu kuwepo, na cdhani km zitakosekana sehemu classic km hyo.
bora kuweka tausi aisee kuliko mi-concrete ambayo hata haijafinyangwa kiutaalam. Mi sijui kama tunajua the concept behind recreational park!

new magomeni modern market[emoji1241][emoji1241]View attachment 1459442View attachment 1459443

Pamekua pazuri sana hapa, Kuna LED screens kubwa hapo pamoja na billboards kadhaa usiku pananoga sana na BRT zinavyopishana hapo kuelekea Morocco zingine Ubungo na Kimara Zingine Posta Gerezani. Ukitegesha Go Pro Hapo kwa timelapse na light trails utadhani sio Bongo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…