Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nicxie jamani karudi watajua hawajuiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Tayari ushajichanganya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Slum si makaazi ya watu, hyo ni ardhi ya serikali[emoji1787][emoji1787]
Lkn tukija katika makaazi ya watu huwezi kuta mtu hku mjini anamiliki uswazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongelea mjini ipi? Apo apo nairobi kuna uharo usioelezeka, kwa huku Dar huwezi kuta uswazi mjini
 
[/QUOTE]
ilibidi ufunge safari ukachukue tena picha kwenye ile jengo ulipiga picha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ natumai safari hii umechukua picha nyingi sana
Leo sijaokota? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kumbe picha nilizipiga mimi mwenyewe!?
 
kaenda kupiga picha nyingi sana so msishangae atapost sana picha ilimbidi afunge safari kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚ πŸ˜‚ kijana wa tandale, niko huku leo, kesho, next week, next month, next year next next next πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…