Mitaani kabisa, mlango kubwa area along juja road., among low income areas by the way..,Heheheheheeee exposure ndo hii apa, hebu nisaidie kwnz, hapa mjini au jalalani [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1456930
23.05.2020 ETHIOPIAN AirlinesKitu kilicho fanyika nichakumpongeza JPM
Alipo ingia kwanza alizuia Uvuvi haramu
Walimpigia Makelele sana
Alikomaa na msimamo wake
Leo hii mwanza kuna samaki wakutosha
Wazee wa kafyu hoi, Siku si nyingi hata ile briefing itakufahuyu jamaa maji yamemfikia shingon while Magu effortlessly fought this battle very early
Uhuru janja janja hajatoa speech ya kuunlockdown kwa lugha ya kimombo kawachenga wakubwa. Kweli sio approach inaweza kusaidia kila sehemu . Matokeo yake amefanikiwa kuongeza deni kwa kenya . Ile ya kuomba kusimamisha kulipa madeni ilikua njia njema sana . Waafrika tunakosa umoja . Donors wetu wajanja wànakupa hela ukanunue PPE, barakoa kutoka kwao na bei yao inakua ghali. Hapo bado hawajakuuzia chanjo . Next time inabidi kufanya duo diligence kabla kufanya maamuzihuyu jamaa maji yamemfikia shingon while Magu effortlessly fought this battle very early
Wacha uwongo ww, unadhani hatujui low income wanaishi wapi huko kwenu? Au unadhani hii nairaland, km pale ni low income na hapa utasemaje?[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Mitaani kabisa, mlango kubwa area along juja road., among low income areas by the way..,
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheheheeee dude limerudi tena, wachukue tu wapo wengi, tumewaacha kwa miaka mingi
Soon tu atawatangazia nyungu, yn Tz tuna upendo wa ajabu sana, tunaweka wazi kwamba tunatumia njia fulani kupambana na ugonjwa huu, lkn nchi zngne zimekaa kimya mpk mtume makachero wakachunguze ndo mjue, Dah Mwenyezi Mungu azidi kutujalia kwa kweli.Wazee wa kafyu hoi, Siku si nyingi hata ile briefing itakufa
Nafikiri hujanielewa maana yanguUkifikiria hivyo huwezi kuendelea kuna watu wanasema SGR itawaondolea biashara watu wa malori au kukataa kwa porters cable cars Mt Kilimanjaro ati kazi zitaondoka as if wapandaji wote watapanda cable cars!
Kuna wale wa sports tourism yaani trekking ns pia kuna wasiojiweza na wazee wana-dream ya sight seeing pia! Hawa jamaa wa charter airlines hawana maana kwanza ni walanguzi kupita kiasi! Kutoka Dar kuenda Bukoba ilikuwa $400 na kwenda juu pia kutoka Dar kwenda Dodoma ilikuwa si chini ya $300!
Acha kuwashabikia hawa jamaa wa vitu vya ajabuajabu kukiwa na uwanja Mugumu ni mapato zaidi yanayotozwa kodi. Kitu kitakachowa-fix wenye biashara ya charter flights kwavile ni opportunist na wanajua hamna miundombinu.
Huwezi kuacha hivyo ili kuendelea kwa unyonyaji huu! Mugumu airport ikiwa pale ita-offer alternative afterall serikali itaendelea kukusanya kodi na charter airlines are damn expensive! Open up ur mind usiwe mtu wa kutetea carteling, Tanzania is too big for everyone to have a piece of pie!
Aisee nani kakuambia kujenga uwanja Mugumu ni kupeleka watalii wote huko? Kwahiyo uwanja wa Mwanza ukikamilisha jengo la abiria usipokee international flights za watalii wanaoenda Western Serengeti kisa wataacha kushuka KIA. Umepata wapi this word of thought?Nafikiri hujanielewa maana yangu
KLM, Fly Dubai, Qatar, Turkish, Ethiopian, KQ na ndege zote zinazoleta watalii KIA sio watalii wote kwenye ndege wanataka kwenda Serengeti achilia mbali kwamba sio wasafiri wote wanaoland ni watalii
Wengine wanataka kupanda Kilimanjaro tu kisha wageuze, Kilimanjaro inapokea zaidi ya trekkers 50k kwa mwaka na pia kujenga international Airport Mugumu ni kuelekeza watalii wote waende Serengeti na Ngorongoro tu then wapande ndege warudi kwao
Wakati wakishuka KIA wataweza pia kutembelea hifadhi zaidi ya 6 zilizopo near KIA, KIA ni epicenter ya Northern tourism circuit wakati Mugumu itakua ipo pembezoni kabisa with limited options
Itakua ngumu sana mtalii atakaeshukia Mugumu kutembelea Mkomazi NP au Arusha NP lakini ni rahisi sana mtalii alieshukia KIA kutembelea Serengeti.
Itakua sawa kujenga hicho kiwanja Mugumu kwa ajili ya kuhudumia ndege binafsi kama hizi private jets and charters lakini sio kuwa alternative ya KIA.
Kingine ni kwamba watalii wengi ni volunteers wengi wao wanajitolea kwenye hospitals, schools, churches, government institutions na private sectors as well so wanakaa kwenye hiyo mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Singida kwa muda mrefuUkifikiria hivyo huwezi kuendelea kuna watu wanasema SGR itawaondolea biashara watu wa malori au kukataa kwa porters cable cars Mt Kilimanjaro ati kazi zitaondoka as if wapandaji wote watapanda cable cars!
Kuna wale wa sports tourism yaani trekking ns pia kuna wasiojiweza na wazee wana-dream ya sight seeing pia! Hawa jamaa wa charter airlines hawana maana kwanza ni walanguzi kupita kiasi! Kutoka Dar kuenda Bukoba ilikuwa $400 na kwenda juu pia kutoka Dar kwenda Dodoma ilikuwa si chini ya $300!
Acha kuwashabikia hawa jamaa wa vitu vya ajabuajabu kukiwa na uwanja Mugumu ni mapato zaidi yanayotozwa kodi. Kitu kitakachowa-fix wenye biashara ya charter flights kwavile ni opportunist na wanajua hamna miundombinu.
Huwezi kuacha hivyo ili kuendelea kwa unyonyaji huu! Mugumu airport ikiwa pale ita-offer alternative afterall serikali itaendelea kukusanya kodi na charter airlines are damn expensive! Open up ur mind usiwe mtu wa kutetea carteling, Tanzania is too big for everyone to have a piece of pie!
Wacha ubinafsi mzee let the Serengeti be economic useful to communities North of Serengeti too! Mugumu airport will make the town benefit too of the same opportunities u r having a hubris to mention as a result of communities being around KIA! Alie na biashara Arusha ama Moshi hakatazwi kuwa na biashara Mugumu town.Kingine ni kwamba watalii wengi ni volunteers wengi wao wanajitolea kwenye hospitals, schools, churches, government institutions na private sectors as well so wanakaa kwenye hiyo mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Singida kwa muda mrefu
Katika Ile miezi wanayokaa kule mostly on weekends huwa wanatembelea different NPs nearby so unaweza kuta weekend hii katembelea Manyara NP, next one kaenda Arusha NP, the other kaenda Zanzibar and so forth so kwa kushukia KIA tayari inawapa hii option
Na kutokana na mikoa hiyo kuwa na hii form of tourism tayari wanayo conducive environment kama airbnb hosts, rented homes and hostels tofauti na Mugumu which to me is kinda boring, Hakuna activities mtalii ataenjoy na kumvutia on the way to the destination.
Si mnajifananisha na Marekani kumbe kibera wanahitaji chakula JPM anaenda kuheshimika East Africa nzima. Ona wakenya walimvyo mvulia kofia kwnye hii COVID-19 [ATTACH type="full" alt="IMG_8564.JPG" said:
Nilijua hii maabara ipo tangu 2013 ikiwa chini ya NIMR kama maabara na kakiwanda cha uchunguzi wa dawa za asili..maabara mpya👇👇👇View attachment 1457786View attachment 1457787
Kwahyo hii ni maabara mpya.Nilijua hii maabara ipo tangu 2013 ikiwa chini ya NIMR kama maabara na kakiwanda cha uchunguzi wa dawa za asili..
Tanzania: Traditional Medicine Given Sh800 Million Boost
FacebookTwitterWhatsAppFlipboardLinkedInRedditEmailShare
18 JULY 2013
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
By Rose Athumani
THE government has set aside 800m/- during this financial year for construction of a traditional medicine laboratory and purchase of machinery and equipment for mass production of the medications.
The National Institute for Medical Research (NIMR) Principal Research Scientist, Prof Julius Massaga, said the government was supporting NIMR in promoting traditional medicine. "The government is building a modern laboratory and a production plant at Mabibo area in Dar es Salaam.
https://allafrica.com/stories/201307180078.html
Nimegundua nimejichanganya ya NIMR mabibo ipo hivi hii habari ilinichanganya kidogo!