The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Hv vidata uchwara ndiyo huwa vinawapumbaza wkt uhalisia hauko hvyo,vitu kwa Ground ndo unakuta watu wanapika mawe, na vitu km hivyo, ila vitu km hvyo Tz hakuna mngeshawasikia kina Zitto, Lissu, Fatuma Karume, kina Mange, au hao nao hawana uhuru.Kenya misaada ni ya wanaoishi kaskazini mwa nchi - jangwani. Wafugaji wanyama wanaohama hama.
Culture yao ndio makosa, na wamekataa kuishi pahali pamoja ili wajipange kiukulima na kikazi.
Lakini vile vile, statistically average ya wakenya wote ikifanywa. Na average ya watanzania wote, Tanzania imepatikana kuwa more malnourished ama undernourished.
Yaani watanzania wengi wanalala njaa ama hawashibi, kuliko wakenya.
Kenya media yetu ni huru. Ina uhuru wa kutangaza mabaya ya nchi. Kwa hivyo kesi za njaa zitaonekana kuwa mingi.
Tanzania hakuna media huru.
View attachment 1455647
Hebu tuoneshe hzo lounge za uko kwenu unazozinadi hapa kila cku.Walifanya makosa na wala hutosikia hao jamaa wakijisumbua kujenga huo ujinga tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Hv vidata uchwara ndiyo huwa vinawapumbaza wkt uhalisia hauko hvyo,vitu kwa Ground ndo unakuta watu wanapika mawe, na vitu km hivyo, ila vitu km hvyo Tz hakuna mngeshawasikia kina Zitto, Lissu, Fatuma Karume, kina Mange, au hao nao hawana uhuru.
Yaani hata wiki haijaisha mambo yashaanza kuwa hivi.
Unapotumia mfano wa picha ya nchi nyingine useme co unakaa kmy ili kuwalaghai watu, narudia tena hii co nairaland [emoji3][emoji3]Zote ni za maana na zimepunguza traffic maeneo yake.
Na zote zimejengwa baada ya kubomoa nyumba na majengo mengi.
Outering road
View attachment 1455654
View attachment 1455655View attachment 1455656
Ngong road.
Ujenzi haujakamilika.
View attachment 1455658View attachment 1455659View attachment 1455660
Lete hapa data za hayo mashirika yakionesha kuwa Tz watu pia wanapika mawe, km ilivyo kenya.Walio na uhuru ni mashirika ya kitaifa.
UN, WHO, FAO, USAID, IMF etc.
I prefer kwenda na data zao, sio data zako.
Nairobi hupata chini ya Ksh20 billion ya pesa ya kaunti, out of bilioni karibu 400.Huo ndiyo uhalisia, kenya ni nairobi pekee, ila Tz maendeleo zaidi ya mikoa 10 ss utafananishaje hapo
Hizi ngonjera bakisha huko huko sina haja nazo,
Kwamba media ndio inapunguza na kuongeza umasikini [emoji23]
Hivi huwa mnasoma mnachokiandika au mnaandika tu ili mradi [emoji23]
Tanzania’s Path to Poverty Reduction and Pro-Poor Growth
Mnatumia nguvu nyingi kudanganya kuhusu nchi yenu huku mkisahau kuwa mpo kwenye forum ya wanaowafahamu kila kona [emoji23]
Unapotumia mfano wa picha ya nchi nyingine useme co unakaa kmy ili kuwalaghai watu, narudia tena hii co nairaland [emoji3][emoji3]
Google is your friend bro, we kaa ukijua kampuni nyingi za mabasi zina waiting loungeHebu tuoneshe hzo lounge za uko kwenu unazozinadi hapa kila cku.
Watajuaje akina zitto wakati media zimeingizwa kibindoni..Hv vidata uchwara ndiyo huwa vinawapumbaza wkt uhalisia hauko hvyo,vitu kwa Ground ndo unakuta watu wanapika mawe, na vitu km hivyo, ila vitu km hvyo Tz hakuna mngeshawasikia kina Zitto, Lissu, Fatuma Karume, kina Mange, au hao nao hawana uhuru.
Magu kawahi kusuruhisha mapema.. tungewapa wiki mbili hiv waonje shughuli yake
Lete hapa data za hayo mashirika yakionesha kuwa Tz watu pia wanapika mawe, km ilivyo kenya.
Andikwa vyote ila mwisho wa siku utarudi hapa hapa [emoji23]Kuchagua tu habari zinazo onyesha Tanania pazuri.
Haya, ndio hii hapa ripoti ya World Bank pia ikiongea kuhusu umaskini Kenya kupunguzwa.
Kwa mujibu wa World Bank, asilimia 36.1% ya Wakenya huishi chini ya $1.90 a day. (2016)
Lakini kwa mujibu wa World Bank pia, asilimia 49% ya Watanzania huishi china ya $1.90 a day. (2018)
Ripoti unayoleta hapa inaongea kuhusu TZ national poverty line, ambayo ni $0.8 a day. Hii ni poverty line iliyosemekana na serikali ya TZ.
Ripoti ambazo zinaongea kuhusu international poverty line ($1.90) ni hizi.
http://documents.worldbank.org/curated/en/431111575939381087/pdf/Executive-Summary.pdf
Poverty Incidence in Kenya Declined Significantly, but Unlikely to be Eradicated by 2030
Ndio hii summary pia.
Tanzania
View attachment 1455718
Kenya
View attachment 1455721
Tz haiagizi dawa zake zote kenya...Usisahau pia Mexico huuza chakula chake USA.
Lakini USA haiuzi chakula Mexico.
Pia hapa Kenya, hatuna ubishi Tanzania ikiwa ni nchi ya wakulima.
Sisi tutamuuzia dawa na vitu zingine za viwanda.
Umuhimu ni value ya imports na exports. Tanzania iko na trade deficit na Kenya.
Value ya vitunguu, maharagwe na hoho haitawahi karibia value ya dawa, cosmetics na electricals.
Tanzania trade with Kenya turns into deficit
Tz haiagizi dawa zake zote kenya...
Hizi ni kampuni hapa Tz ambazo nao hutengeneza dawa...sijaweka Buhongwa industries ilioko Mwanza na nk
FYI dawa nyingi Tz inanunua China na India...View attachment 1455754View attachment 1455755
Sent using Jamii Forums mobile app
Andikwa vyote ila mwisho wa siku utarudi hapa hapa [emoji23]
Niambie ukweli..dont you think those numbers are infalted ...do you think that hospital cost is 60mil USD? What special equipments does it have ..maana majengo ya hospital dont cost much..maybe because its teaching hosp hapo sawaNairobi hupata chini ya Ksh20 billion ya pesa ya kaunti, out of bilioni karibu 400.
Sio lazima maendeleo yote ya Kenya tuyalete Jamiiforums, na yanayoletwa ni machache. Personally mimi siweki catalog yoyote.
Lakini hii hapa miradi tatu ya hivi majuzi.
Dongo Kundu, Mombasa
View attachment 1455709
View attachment 1455708
Hospitali mpya Kakamega
Hospitali mpya kilifi
View attachment 1455704
Hutaki kukubaliana na ukweli kuwa Kenya ina masikini wengi ukanda huu!1 in 2 people (49%) Tanzania wako in extreme poverty.
Vipi unajifanya hujaona hio?
Umeeleweka..!!Sijasema dawa zote. Hakuna nchi huagiza bidhaa zao zote kutoka nchi moja.
Lakini Nairobi iko na zaidi ya makampuni 30 ya dawa, ambayo yanaexport Africa mashariki na kati.
Point ni kwamba value ya export ndio muhimu. Na sio lazima nchi iproduce kila kitu.
Mfano hata muuzie Marekani vitunguu malori elfu kumi, bado watampiku wakimuuzia dreamliner moja tu.