Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unamkorofisha Magu unategemea nini, hatua km hz nadhani alitaka kuzichukua mda mrefu sema alikuwa anawalinda tu, ss wamemchokonoa ngj wauone upande wake wa pili wa shilingi [emoji3][emoji3]
Yale yale ya korosho..
Tuone mtafikia wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona wakulima wakilia mazao yanawaozea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zero brain! kituo chochote kuna soko, bodaboda, bajaj, taxi.. hivyo unakuza uchumi na kuhimiza mzunguko wa hela (watu kujipatia kipato sehem sahihi na kwa shughuli sahihi)
Kwn kampuni ijitengezea waiting lounge yake kuna shida gani, mambo ya zamani hayo..
Sio basi eti tunapangiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Nionyeshe nchi gani sai ulimwenguni wanajenga stendi kw ajili ya mabasi karne hii

Sent using Jamii Forums mobile app
UK [emoji636] wanajenga kila kukicha*
Haya majamaa ni yanaakili za kitumwa sn, hv kweli kwa nchi zetu hz usiwe na stand kweli inaingia akilini hyo, kumbe ndo mana wakenya huwa wanakunya kwenye vichaka, hebu jenga picha mfano mdogo tu mtu unasafiri km 300 af hakuna stand na basi za kenya nadhani mnazijua.
 
fikra zao ziko nyuma miaka 100๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ we huoni hata mchina alipowajengea reli na treni za 100 yrs ago walishangilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ