Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo zishanunuliwa na Wakenya ndo maana wanalalamikia serikali yao!
 
Kama wanataka kuboresha round about ya Msamvu ni bora wafikirie interchange pale. Uzuri wa pale eneo ni kubwa la kutosha na hata kama kutakuwepo na kulipa fidia haitakuwa kubwa sana.
Kabla ya huko msamvu wangeanza na mbezi mwisho,maana foleni ya magomeni na ubungo inahamia mbezi,hali itakua mbaya sana pale maana eneo lenyewe ni dogo,wafanye kitu pale aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…