Once a convict..........always a convict no matter what
![]()
Baada ya madrassa.....practicals
![]()
nakubali ccm wamejua kuwa mambo magumu sasa wanaanza kuwatisha wapigakura hata mimi nimeona kwenye gazeti naomba mu m foadie john tedwa na mzee makame mapemasheria haikatazi mtu kumiliki silaha, ila hili la kuionyesha hadharani kama simu ya bb ni kosa kubwa tena ni kuwatisha wananchi. Watu kama hawa ndio wanaoendelea kutia doa kampeni za ccm. Yaani ccm imekosa watu wote mpaka inaenda kumchukua rage...ananikumbishia alivyokuwa fat ya zamani alikuwa mbishi sana..
Hawa ndiyo watanzania wanaojiita great thinkers kweli? matusi ya nini sasa ? ebu tujenge taifa kwa kutoa michango yenye "matinki" , wewe bora utoke hautufai humu
Hayo maswali ni sawa kabisa, lakini kwa kufikiri kwa haraka haraka, NI KOSA ISIPOKUWA KWA WATU WA VYOMBO VYA ULINZI WANAPOKUWA KAZINI.
Ikiwa si kosa kutembea na na kuonesha hadharani silaha unayomiliki, maana yake ni kuwa, kila anayemiliki silaha kutembea na kuionesha hadharani, hii nchi ingelikuwa haikaliki.
Pia tuzingatie kuwa SILAHA si bastola wala bunduki tu. Mapanga, shoka, mikuki, mawe...pia ni silaha na watu wanazimiliki hizi kihalali. Je, ni ruhusa kwa anayemiliki silaha hizo kuingia nazo katika hadhara ya watu? Nafikiri wanaoelewa sheria wangelitufafanulia hili, iwapo ni kosa ni juu ya viongozi wa vyama vya upinzani kuchukua hatua zinazohusika. Ikiwa si kosa, poa. Sisi tusiomiliki mitutu, tunayo mapanga.
Kidokezo tu, huyu muechimiwa alibeba bastola kwa hofu ya kubakwa!
Nafikiri sheria imekupiga chenga.
Sasa na wale polisi wanaotembea na silaha khadharani kwenye mabenk na mitaani ni magaidi?
Kifupi kinachokatazwa na Sheria ni kumtishia mtu silaha au kumlenga (kumuonyeshea kuelekea ulipo mwili wake) ni kosa. lakini kuihifadhi kiunoni na watu wakaioana hakuna kosa llolote.