Bastola ya Aden Rage na CCM

Bastola ya Aden Rage na CCM

Kumbuka Rage sio Gamba wa kwanza kudharau sheria ya umiliki na utumiaji wa siraha za moto kwani Gamba wa kwanza alitokea huko Mwanza ndani ya club na kuchomoa bastola yake kumshugulikia jamaa yake waliyetofautiana kiulevi tu; na Gamba mwingine ni yule anayejifanya kupinga ufisadi kumbe anajitafutia ukaribu na JK ili angalau avute ukuu wa mkoa lakini bure; ambaye kesi yake ya kumtishia Gamba mwenzake na bastola bado iko mahakamani na ugomvi wao ni vyeo ndani ya Ugamba.
 
F.u.c.k again and again CCM,.wanajuaga kupindisha sheria afu kivaku vinega hawaonekanag
 
huyu jamaa nina wasiwasi naye sasa baadaye ataanza kuwatisha wachezaji wa simba wakifungwa na yanga2 anawazibua!!!!!!!!!! wataalamu watusaidie hivi ni halali jamani kuonesha bastola yake hivyo?
 
Maneno katika vitabu vitakatifu yanatuambia ya kuwa "Bwana Mungu asipoulinda mji waulindao wanakesha bure" sasa ccm wamechoka hadi wanaleta taharuki kwa wananchi kwa kupanda na siraha zao majukwaani na kuamua kwa dhati wazioneshe what is this? Anyway ninachoshukuru hakuna watu waoga kama watu wa kanda hyo hvyo kwa kufanya hivyo Rage kapunguza kura za ccm kwa nusu hvyo CDM mpaka sasa inaushindi wa zaidi ya asilimia 75%.
 
Kesho na mimi natafuta hata ya kuchonga tu naiweka hapo naenda nayo Leaders' Club au Club yoyote ile, nione kitatokea nini.......
 
View attachment 37729
Mbunge wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage akiwa na bastola kiunoni akielekea kupanda jukwaani kuzungumza na wananchi wa Kijiji cha Igurubi kwenye mkutano wa CCM wa kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga jana. Picha na Ray Naluyaga
 
Haya Mzee Mkame, sema tena chadema ni majasusi; wananchi wa Igunga sio wajinga tena, watapima wenyewe chama gani ni cha vurugu na kipi ni cha wastaraabu
 
Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni. Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama weengi hivyo? CCM NI HATARI JAMANI NI KIFO..

Wasomali kutembea na bastola ni kama wamasai kutembea na sime
 
Kesho na mimi natafuta hata ya kuchonga tu naiweka hapo naenda nayo Leaders' Club au Club yoyote ile, nione kitatokea nini.
..
naomba tuwe wote siku hiyoo
 
Wasomali bwana yaani inakuwa vigumu kwelikweli kusahau kwamba hawako MOGADISHU!!!!!!!!
 
Kabla ya kumshambulia Rage tungepaswa kwanza kufahamu sheria za umuliki wa silaha hapa Tanzania. Kwa mfano:
  1. Je mtu anaruhusiwa kutembea na silaha anayoimiliki kihalali?
  2. Je ni makosa kuonesha silaha unayoimiliki kihalali hadharani?
Tukishazijua sheria za umiliki wa silaha tutakuwa na uwezo mzuri sana wa kuchangia hii mada. Naomba wataalm wa sheria watujuze zaidi.

As for me, sizijui hizo sheria ndio maana siwezi kusema kama Rage ana makosa au hapana.

Shakazulu, nadhani suala la msingi hapa si sheria, bali mazingira ya kuwa na silaha waziwazi kiasi hicho. Nikikualika kwenye sherehe yangu ya harusi, sidhani kama nitakuelewa ukija umening'iniza bastola yako kiunoni hata kama unaimiliki kisheria. Japo kampeni si harusi, sidhani kama ilikuwa ni busara kwa Rage kuning'iniza bastola kiunoni namna hiyo, hata kama si kosa kisheria. Watu wengi wana silaha wanazomiliki kisheria, na hutembea nazo mitaani, lakini huwezi kuziona. Ni suala tu la kutumia "common sense" hapa, ambayo nadhani Rage kwake ni bidhaa adimu.
 
Laiti wakati wa kujiunga JF kungekuwa na usaili wengi tungewekwa kando!
mkuu huyu achana naye ni jamaa mmoja anaitwa mwita ameamua kuwa mshenzi . Yupo hapa jamvini kitambo kidogo, Alipigwa Ban akaja na ID nyingine akapigwa Ban tena ndio kaja kihivi.
 
Hii picha ya Rage akiwa na bastola wakati anahutubia wananchi imestua sana! Pamoja na matatizo tuliyonayo kama taifa sidhani Tanzania imefikia mahala ambapo mwakilishi wa wananchi anatembea na silaha za moto wakati anaongea na wapiga kura wake! Tena anaiweka kiasi kwamba anataka kila mtu aione. Rage anahofu gani? au ana wabaya kiasi gani mpaka ajipambe na bastola?
Na yale majigambo ya Tanzania ni kisiwa cha amani na utulivu ndiyo haya?

hawa ndio waleta fujo
ila kuna siku tutawakomesha
07ragekam.jpg
 
Haya ndiyo matokeo ya kuwapa watu wasio wazawa nyadhifa za kisiasa, lakini ole wao siku inakuja watalia na kusaga meno
 
Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni. Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama weengi hivyo? CCM NI HATARI JAMANI NI KIFO..

mkuu pole sana kama leo ndo unagundua kuwa ccm ni hatari kwani ni jambo ambalo linajulikana siku nyingi
 
Labda ni mizimu ya Tabora maana kama mnamkumbuka yule RC wa Tabora Ukiwaona Ditopile Mzuzuri naye alikuwa anatembea na bastola...! yakamkuta yaliyomkuta!
 
Back
Top Bottom