Bastola ya Aden Rage na CCM

Bastola ya Aden Rage na CCM

Wanajihami bwana , Kama watu wanamwagiwa tindikali na wengine kuchomewa nyumba ni lazima kujihami manake muda wowote unaweza kuvamiwa hata jukwaani si unajua tena kauli mbiu ya HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE

We ni mnafiki na sio mzima kabisa
 
Usoni ni kama msomali so kwake iyo ni kama fimbo tuu!
 
Ni Kawaida kwao Somalia kutembea na SILAHA nje nje. Paka haachi huruka yake!
 
limbukeni asije akaditopile watu. wana igunga susieni mikutano ya magamba.mnakumbuka hata mwenzie alisema ilifyatuka bahati mbaya.
 
Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni. Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama weengi hivyo? CCM NI HATARI JAMANI NI KIFO..

07ragekam.jpg

Mbunge wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage akiwa na bastola kiunoni akielekea kupanda jukwaani kuzungumza na wananchi wa Kijiji cha Igurubi kwenye mkutano wa CCM wa kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga jana.
 
images

Watu tuna hivi vitu, itakuwa hicho kijiko cha chai???!!!
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa pale wanamapinduzi wakweli walipo amua kutumia njia ya Passive resistance kufikisha ujumbe kwa jamii yote ya Tanzania. Hamna mtu atakaye andamana ila watavaa nguo nyeusi siku hiyo ya jumatatu kulaani mambo mengi yanayotendeka na hii serikali likiwemo , kukosekana kwa umeme, mikataba mibovu, huduma duni za maji, afya na elimu, Umaskini ulio kithiri, Wingi wa safari za mkuu wa kaya pasipo tija, uzembe na kutowajibika kwa watendaji:

Be part of the change, sms zinazunguka japo Mod anaibania kuiweka kwenye jamii forum wingi wa nguo nyeusi utamaanisha wingi wa wataka mabadiliko the time is now or Never!

Changes always honours the mind that is prepared! Lets do Let go for change! Neither Chadema nor CCM will bring the change that we people of Tanzania can bring. Black garmet is to send the message to the Government!
 
Rage ni msomali na kweli ana akili za Al Shabaab, Rage aliwahi kaa Ukonga hivyo bado ana akili za kijelajela, Rage kazaliwa Tabora? na kuzeekea mjini hivyo ana ulimbukeni fulani na sichelei kusema kuwa hapo kiunoni huenda kavaa pochi bila Bastora ya kikweli kweli ili aonekane naye yumo yumo kwa vigogo wa Tz
 
Hii ni Mbinu nyingine tena ya kitoto ya kujaribu kuwatoa CDM kwenye mada. Ile ya DC ilifaulu kwa kiasi, lakini hii ya huyu Muraa imechelewa. CDM, msikubali kupoteza hata dakika yenu moja kuupa attention huu upuuzi. It is too cheap! Songeni mbele bila hofu kwa hoja za viwango, mkiwaonyesha wana Igunga dhamira thabit ya kuwakomboa kutoka katika masaburi ya magamba.
Mkuu naona usemi wako kama uko sawa. CDM naona wameipuuza hiyo ndio maana mpaka sasa hakuna aliyelizungumzia hilo la Rage. Mukama sasa kichwa kinamuuma anajiuliza vichwa vya viongozi wa CDM vina ubongo tani ngapi?
 
Hivi kweli angepanda jukwaani MBUNGE wa UPINZANI na silaa kiunoni waziwazi POLISI wangemwachia? Nahisi zingepikwa PROPAGANDA za kuonyesha WAPINZANI ni watu wa vurugu ndiyo maana wanapanda na silaha jukwaani. Kama kweli tunahubiri AMANI kwa miaka 50, tishiana SILAHA za nini sasAa majukwaani? Kweli POLISI na USALAMA wa TAIFA ni mbwa wa CCM.

sidhani kama uko sahihi na topic,kwamba polisi na Usalama wa Taifa ni MBWA wa CCM si kweli uo ni ulimbukeni wake tu
 
Wana JF,

Ingetokea hiyo Picha ni Mbowe au Lema, Wenje, Mchungaji, Kabwe Ungesikia CCM wangesemaje huku wakisaidiwa na USALAMA wa Taifa ila kwakuwa mbunge Rage yeye ni wa CCM hato hojiwa kuiweka Siraha yake hadharani

Sheria ya kumiliki siraha inasemaje?
Ni ruksa kutembea nayo na kuionyesha hadharani esp kwenye Mikutano kama hiyo inamaana hata kwenye kampeni za CCM igunga askali wetu wa serikali hawaaminiki kuwa ni wakakamavu wa kulinda usalama wa raia??
 
Aden kajisahau anafikiri baado yuko mitaa ya Mogadishu na Hagesia,kwa hiyo msameheni tu ,mkumbesheni ya kwamba yuko TZ ,kisiwa cha amani na utulivu ,nchi ya maisha bora kwa mafisadi oops kwa wote
 
Kabla ya kumshambulia Rage tungepaswa kwanza kufahamu sheria za umuliki wa silaha hapa Tanzania. Kwa mfano:
  1. Je mtu anaruhusiwa kutembea na silaha anayoimiliki kihalali?
  2. Je ni makosa kuonesha silaha unayoimiliki kihalali hadharani?
Tukishazijua sheria za umiliki wa silaha tutakuwa na uwezo mzuri sana wa kuchangia hii mada. Naomba wataalm wa sheria watujuze zaidi.

As for me, sizijui hizo sheria ndio maana siwezi kusema kama Rage ana makosa au hapana.



Sheria yetu iko butu sana mkuu kwenye haya maswali yako soma hapa chini kutoka "THE ARMS AND AMMUNITION ACT"



Safe custody of arms and ammunition

32.-(1) Any person having in his possession, control or custody of
any arms or ammunition shall take all such precautions as may be reasonably
necessary to prevent such arms or ammunition from falling into the
possession, control or custody of any unauthorised person and shall comply
with such security measures, both with regard to the safe custody of the arms
or ammunition and the condition in which the arms or ammunition shall be
kept, as may be prescribed.
(2) In any proceedings under the provisions of this section or any
regulation concerning security measures–
(a) the burden of proof that all such precautions as were
reasonably necessary to prevent such arms or ammunition
from falling into the possession, control or custody of an
unauthorised person were taken or that such security measures
as may be prescribed were complied with, shall lie on the
person charged; and
(b) where arms or ammunition are lost or stolen, it shall be presumed, until the contrary is proved, that they have fallen
into the possession, control or custody of an unauthorised
person.
(3) For the purposes of this section "unauthorised person" means, in
relation to any arms or ammunition, any person other than the person
lawfully entitled under the provisions of this Act to possess those particular
arms or ammunition.
 
Hapo sasa ndipo nnapoiona Serikali hasa jeshi la polisi(linalosimamia sheria kwa wote)ni wanafiki sana.Sheria ya kumpa mtu kibali zinaruhusu silaha hiyo kuonekana wazi wazi tena mbele ya umati watu!?Au SHERIA ZA TANZANIA ZINAFANYA KAZI KWA UPANDE WA CHAMA CHA CHADEMA TU!!??,ipo siku yao sijui watajificha wapi tusipopajua
 
Anaglia nchi zingine walivyo strict na kumilki slaha.


How to Own Guns in Japan
==========================

In Japan there are many people who believe that Japanese shooters at Olympics
are policemen or soldiers of Self-Defense Force. Some other people believe
that Japanese citizen cannot own guns and people who enjoy shooting have to
rent guns at shooting range, and some other people believes that legal
gun owners must keep guns in lockers assigned for them at shooting ranges.
So, I decided to write short introductory article about gun ownership in Japan.

In Japan, the kind of guns owned by civilian are as follows.

Air Rifle
Hand Rifle
Rifle
Air Pistol (limited to 500 people for sports shooting only)
Pistol (limited to 50 people for sport shooting only)
Shot gun

The purpose to own guns is limited to two, i.e., hunting or sports shooting.
It means we cannot own guns for defense purpose.
The procedure to own the gun is as follows.
Of course, people who use guns in their work (policemen, soldiers, etc.)
don't have to follow the following step for guns used in the job.
The terminology about 'air gun', 'air rifle' follow Japanese custom.


Participation in a lecture at nearby police station
------------------------------------------------------

This is a requisite condition for anyone who tries to own gun.
You go to the police station which is responsible for your address area, and
apply for the lecture on gun regulation for beginners. In case of Tokyo,
entire districts are divided into four blocks, and the actual place to have
the lecture is one police station in the block.
The lecture for beginner is held once in a month, I think.

The lecture starts at 9:00 in Saturday morning, and written examination
follows after lunch. To 20 questions, you have to give at least 14
correct answers. When I had this lecture, two or three people did not
pass among 32 or 33 attendance. This performance was high because usually
80 % of attendants pass the examination. After passing the examination,
a certificate is given and its copy must be submitted whenever you do some
application afterwards. The certificate is valid three years. It means,
after the valid date of the certification, you have to attend a lecture
for gun owners to get the new certificate. This time, no examination is
done.


Air rifle, hand rifle, and shot gun
-------------------------------------

Once you get the certificate of the gun regulation lecture, there are two
different paths depending on what you want to own. Note that you cannot
apply for usual rifles nor pistols at this stage. To own them, you need
further qualification.

A. Air rifle or hand rifle.

People who are not familiar with gun confuses air rifle from
'air soft gun' (or simply 'air gun') which uses plastic bullet and
whose barrel does not have rifling.
In fact, recently it was reported on TV that some members of AUM camped
near by Mt. Fuji and did some military training using 'air rifle' of
AK 47. This report was not correct. What they used must be air soft
gun shaped like AK 47 or model gun of AK 47.

Hand rifle is unique to Japan. It is actually air pistol, but long
sleeve covers the barrel, and long stock is attached to the grip.
In Japan, ownership of pistol (air or not) is restricted because of
their small size which enables covered transportation. Therefore,
hand rifle was introduced for people who plan to own air hand gun
eventually.

If you want to own air rifle or hand rifle, you can go to a gun shop
with certificate to show to clerks, determine which gun to buy, ask
clerks to write a paper which describe the detail of the gun, and name of
the shop. When you buy a gun not from a shop but from a current owner,
the same paper is needed.

You must be at least 18 years old, or, you need to be over 14
years old and have recommendatory letter from an organization which
governs all official sports organizations.

B. Shot gun.

Prior to go to gun shop, you have to take practical shooting course,
followed by examination. To apply for it, you have to submit a lot
of papers to the police, and it takes a few months until you get the
approval because you and your family who live together are examined.

After the approval, you have the course at a shooting range and pass
it (it is quite easy). Then, you go to a gun shop, determine the gun
to buy, and ask clerks to write the paper.

You need to be at least 20 years old.

After applying for any gun, usually it takes about one month until you get
permission. When you get notification from the police about permission,
you go to the police station to receive license booklet, take it to the
gun shop and receive the gun. Then within two weeks, you have to go to
the police station again with the gun to have it inspected and stumped on
the license.


SB - Small Bore rifle (0.22 caliber, rim-fire)
------------------------------------------------

Since using of 0.22 caliber rifle (both rim-fire and center-fire) for
hunting is prohibited in Japan (probably small animals suitable as targets
of 0.22 caliber live not far from where people live), the only permitted
purpose to own it is for rifle shooting sports. The step to own Small Bore
(rim-fire) rifle is as follows.

A. Become a member of a branch of National Rifle Association of
Japan, then become a member of N.R.A.J. itself.
I my case, I became a member of Setagaya (one district in Tokyo) area
at first, which means automatic membership of Tokyo branch of N.R.A.J,
then had to wait one year until I was allowed become a member of N.R.A.J
it self. But this term differs with branches.
If you want to just enjoy air rifle, and have no interest in participating
in national wide shooting meet, to stay just as Tokyo branch's member
saves membership fee.

B. Participate in a few hour's lecture by N.R.A.J., and get certification.

C. Participate in at least two shooting meet per year before you apply for
SB.

D. Get certification of skill of shooting.
In case of shooting in Standing position, the score of criteria is
300 for S60, and 200 for S40. It is quite easy.

E. By satisfying above A,B,C,D, then you can apply for SB to N.R.A.J.
What you get if you pass the examination is recommendatory letter that
you are suitable for shooter of N.R.A.J., and have potential to become
a shooter for higher level competitions like Olympic.

F. Submit above letter as well as many other papers to the police station.
Like the case of shot gun, it takes a new months until the police
issues a permission to take shooting course in practice.

G. Take a practical shooting course at a shooting range, and get a
certification.

H. Apply for a gun to buy.


LB - Large Bore rifles (center-fire)
--------------------------------------

There are two purposes you can use LB, one is sports shooting under
control of N.R.A.J., and the other is hunting.

A. For rifle shooting as sports, the requisite to apply for it are
as follows.

a. It is over one year since you have owned a SB.

b. You have already participated in 2 shooting meet per year with SB.

You apply for recommendatory letter to N.R.A.J., and follow the similar
steps (without practice course in a shooting range) as SB.
It looks only bolt action rifles can be allowed.

B. For hunting purpose, you must have continuous 10 years' history to
have own shot gun or SB. You simply apply for a gun to the police
station.


Air pistol
------------

The requisite condition to apply for air pistol is almost the same
as SB except that certification of more skill in shooting is
required (in case of AR S60, score of over 510).

Since the number of owners of air pistol is limited up to 500,
you usually wait one year or more (it means you wait someone
fails to update the license) until you get recommendatory letter.

After getting recommendatory letter from N.R.A.J, follow the same
procedure as other kinds of guns to apply for the license.


Pistol
--------

To apply for pistol, you need quite excellent skill of air pistol
(in case of AP60, score of over 555) to apply for pistol.

This time, the number of people is limited to 50, but because of
so hard criteria, I heard two years ago that only 30 people owned it.


Permission for ammunition
---------------------------

Anybody can buy bullets for air rifle, hand rifle, and air pistol without
restraint. For ammunition which contains powder, you have to get
another paper from the police.
On the permission paper, based on which kind of guns you have, the kind
of ammunition gun shops can sell to the owner of guns are listed as well
as total maximum amount. This paper is valid for one year, and, if my
memory is correct, the maximum number of ammunition the police allow to
a paper is 4,000.
Because of the law, the maximum number of ammunition you can keep
at home is limited to 800, and you must keep them in a specially designed
locker which is different from gun locker.


Updating the license
----------------------

The license of gun is a booklet like passport.
Your name, photograph, address, birth date, license booklet No. and its
issue date, etc. are in the first page.
Then pages for up to 12 guns follow (so, if you own more than 12 guns,
you have several license booklets).
In the last page, there is a holder to insert the permission paper to buy
ammunition.

The license for each gun is valid three years (more correctly, until
the third birthday after you get the license).
It means, if you have three guns which you owned in three continuous years,
you have to update the license of different gun every year. If you have
three guns owned in the same year or owned in interval of multiple of three
years, you can update them in the same year. Here, 'year' means not
calendar year, but a interval between two birthdays of the owner, i.e.,
if you buy two guns, one a day before the birthday and the other one day
after the birth day, their licenses are updated in the different years.

To keep the license, following things must be cleared.

A. Requisite to update license.

There's no condition to update the license of air rifle, hand rifle,
and shot gun. But if you have not used them in the past three years,
license can not be updated.

To update the license of SB and LB, you have to show stump you got
at rifle shooting meets. Though one of conditions that N.R.A.J.
issues recommendatory letter for SB and LB is that owner should
participates at least two formal shooting meets per year for EACH gun,
in realty, it is not checked by the police strictly.

To update license of air-pistol or pistol, it is strictly examined
whether you participated in enough number of shooting meets, and score
at them were enough to qualify the ownership.

B. Annual gun inspection.

Usually in spring, there's a day of annual gun inspection (the date
differs with police stations). You bring not only all guns but also
a paper to report the number of times you used gun (for practice,
shooting meet, hunting) as well as the number of bullets you consumed.

C. Certification of a lecture which is valid at the time of update.

To update of the license, valid certificate of gun regulation lecture is
necessary. It means you have to attend the lecture every three years.


Others
--------

A. There are many kinds of papers which you submit to the police at
various opportunities. The following is a list of them (not all of
them are needed every time).

o Application for ownership
o Application for license update
o Application to buy ammunition
o Paper to return expired paper to buy ammunition
o Signed paper that gun shop or ex-owner agrees to sell a gun to you,
which contains detailed description of the gun
o List of your family who live with you
o Abstract of your family register
o Past 10 years' record of your address, job, crime, and guns
you ever own
o Doctor's certification that you are not a user of drugs, and
satisfies some other physical conditions.
o Certification of gun lecture (for beginners, or for owners)
o Certification of practice course at a shooting range

B. If you have some crime history, using knife or guns, you cannot
apply for gun ownership for some amount of years.
Also, if you live with dangerous people, like member of Yakuza,
it may happen application is rejected.

C. In Japan, most policemen are transferred every several years to avoid
their adhesion with residents. In case of a policeman who is
in charge of handling gun ownership, he is transferred every two years.

D. Because only one policeman works for gun ownership in each police
station, I experienced several times that he was absent for criminal
investigation. What I do when I have some business about gun ownership
is to call him in the morning to check his convenient time, then
go to the police station. So, it is often necessary to take
annual leave of a day or half just to submit papers.
I hope some reformation about this inconvenience.

E. The most popular accident caused by legal gun owner is to shoot the
colleague mistakenly at hunting.
In total, 10 to 20 accidents on legally owned guns happen every year.
N.R.A.J is proud of its record of no accident at shooting meets.

F. The number of owners of shot gun and air rifle are, if my memory is
correct, around 35,000 respectively, whereas owners of rifles are 1/10
of them.

G. Guns must be kept in your house in a specially designed locker.
One exception is pistol (not air pistol) which must be kept in a locker
of the nearby police station.

You must keep key of the locker in a secret place (your family should not
know it), and even if policemen comes to your home for inspection,
only owner should show guns.
He can reject to show guns if policemen come without prior notification.
It is to avoid an incident that guns are stolen by 'false police'.

H. To do hunting, you need another license for it.
Issuing of hunting license is under control of Governor of each
prefecture.
The first course for beginners is followed by written examination
follows like that for gun ownership. License is valid for 3 years.

I. When you apply for a gun, you specify its purpose (target shooting, or
hunting). You cannot use a gun for hunting if its purpose in the
gun's license is "target shooting".
 
Nadhani haileti picha nzuri sana wakati huu kutembea na cha moto hadharani namna hiyo. Tumezoea kuwaona polisi wakiwa na zana hizo kwao ni zana za kazi, najiuliza ingekuwa ni ofisini bosi wako anaingia na bastola kiunoni hata kama anaimiliki ingekuwa taharuki. Naamini wengi wanazao lakini zinawekwa sirini, sasa hapo Mh. Rage anatuonyesha ubabe, si kiashiria kizuri.
 
Back
Top Bottom