mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,526
- 45,278
Ndo maana kuna wakati sina hata Mia mfukoni.ila namshukuru tu mungu.Kwa zawadi ya uzima
hii imetokea leo huko Zambia. ilikuwa inatoka South Africa kuja DAR. tahadhari picha zinaogopesha
View attachment 2853838
Pole baby.Bora nisingeview masikini
Mungu siyo mungu.Ndo maana kuna wakati sina hata Mia mfukoni.ila namshukuru tu mungu.Kwa zawadi ya uzima
destination magufuli wale wa msaada shekilango ubungo complex.In maana inatoka south to dar hakuna destination.😐
si umeona lakini nimeandika picha zinaogopesha.KIONGOZI TAFADHALI FUTA HIYO VIDEO
INALETA HISIA KALI KWA WALIOKUWA NA NDUGU ZAO KWENYE HILO BASI
SIKUWEZA KUANGALIA YOTE; INAUMIZA SANA!!!
Vipi hali ya barabara kutoka Serenje mpaka tunduma?Watu wengi sasa hivi wanakifika Lusaka wanaitafuta Malawi ukifika Mzuzu unakua ushafika karibu na Songwe huko Serenje maroli mengi mno harafu wanaendesha katikati ya bara bara imeumiza sana hii ajali aisee watu wengi walikua wanarudi home..
ya mwanzo hii hapa hakuna kifo.
View attachment 2853945
Ajabu kidogo.Twelve People Have Died In A Road Traffic Accident In Serenje District
TWELVE people have died in a road traffic accident in Serenje District, Central Province. Police spokesperson Rae Hamoonga said the accident happened today at about 11:00 hours at Kalwa area about 7 Kilometers North of Serenje district. He said involved was a male driver Thabo other names yet to...zambianstreets.com
Lorry linakuwaje tena na abiria mkuu?Ajabu kidogo.
Lori limeua dereva na abiria 5 jumla 6.
Na basi limeua dereva na abiria 5 jumla ni 6, hivyo wamefariki 6 toka kwenye lori na 6 kwenye basi na jumla ni 12 duuh
masafa ya mbali hasa highway raia washazoea kuvuka vijiji na maroli.Lorry linakuwaje tena na abiria mkuu?
Bila Mkombe kubadili jina ataendelea kuwakomba abiria wake wote.hii imetokea leo huko Zambia. ilikuwa inatoka South Africa kuja DAR. tahadhari picha zinaogopesha
View attachment 2853838
Hebu niulize swali la kizushi, abiria huwa hawachoki safarini? Kama wanachoka je, dereva wa akiba huwa hachoki safarini?Kutembea muda mrefu kama wanafuata utaratibu unaohitajika siyo tatizo. Wanabadilisha madereva ipasavyo? Wanaendesha mwendo mzuri? Bus linachekiwa mara kwa mara?
Mbona hauna pasipoti.We umejuaje kama nilikuwa naishia ndani ya Tanzania?
Bara bara ni mbaya na ni nyembamba kwa gari kubwa mbili kupishana kwa baadhi ya maeneo kwa Serenje jana tu nimeambiwa kulikua na ajali nne pekee...hiyo bara bara ina ajali nyingi kuliko eneo lolote la ukanda huo hasa kwa Magari ya mizigo...Vipi hali ya barabara kutoka Serenje mpaka tunduma?
Nini chanzo cha ajalo?
Asante,Pole baby.