Mbona hii habari hatujasikia popote? Wala hakuna mamlaka yeyote iliyotoa taarifa?Wana familia kama mna ndugu walikua wanasafiri kutoka South Africa na Bus la Mkombe Luxury please jaribuni kuwatafuta mana bus limepata ajali mbaya sana ya kugongana na Lori uso Kwa uso jana Serenje Zambia.. inasemekana idadi ya vifo imeongezeka