Watu wengi sasa hivi wanakifika Lusaka wanaitafuta Malawi ukifika Mzuzu unakua ushafika karibu na Songwe huko Serenje maroli mengi mno harafu wanaendesha katikati ya bara bara imeumiza sana hii ajali aisee watu wengi walikua wanarudi home..
Vipi hali ya barabara kutoka Serenje mpaka tunduma?

Nini chanzo cha ajalo?
 
Ajabu kidogo.
Lori limeua dereva na abiria 5 jumla 6.
Na basi limeua dereva na abiria 5 jumla ni 6, hivyo wamefariki 6 toka kwenye lori na 6 kwenye basi na jumla ni 12 duuh
 
Kutembea muda mrefu kama wanafuata utaratibu unaohitajika siyo tatizo. Wanabadilisha madereva ipasavyo? Wanaendesha mwendo mzuri? Bus linachekiwa mara kwa mara?
Hebu niulize swali la kizushi, abiria huwa hawachoki safarini? Kama wanachoka je, dereva wa akiba huwa hachoki safarini?
 
Vipi hali ya barabara kutoka Serenje mpaka tunduma?

Nini chanzo cha ajalo?
Bara bara ni mbaya na ni nyembamba kwa gari kubwa mbili kupishana kwa baadhi ya maeneo kwa Serenje jana tu nimeambiwa kulikua na ajali nne pekee...hiyo bara bara ina ajali nyingi kuliko eneo lolote la ukanda huo hasa kwa Magari ya mizigo...
 
Wana familia kama mna ndugu walikua wanasafiri kutoka South Africa na Bus la Mkombe Luxury please jaribuni kuwatafuta mana bus limepata ajali mbaya sana ya kugongana na Lori uso Kwa uso jana Serenje Zambia.

Inasemekana idadi ya vifo imeongezeka.
IMG-20231226-WA0120.jpg
IMG-20231226-WA0119.jpg
 
Back
Top Bottom